Askari wapiga picha na viongozi wa CCM

Askari wapiga picha na viongozi wa CCM

Naomba kupita ,maana sina la kusema.
 
Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
_MG_3233.JPG

Hii kitu inaruhusiwa jamani??

Tazama picha hii kisha katazame picha ya Lema na yule "Afande" kisha ndo ulete swali lako hapa. Kwa mwenye uwezo wa kutafakali na mwenye uwezo wa kufikili hata kwa 0.01% hawezi kulingania picha hii na ile picha ya "Afande wa JWTZ" na Lema!!!.

Hakuna wajinga humu ambao kama wewe watakaoshindwa kutofautisha picha hii na ile ya Lema na "Afande wa JWTZ".

Kakae chini na tafuta kitu kingine hapa UMETOKOTA SANA
 
Tazama picha hii kisha katazame picha ya Lema na yule "Afande" kisha ndo ulete swali lako hapa. Kwa mwenye uwezo wa kutafakali na mwenye uwezo wa kufikili hata kwa 0.01% hawezi kulingania picha hii na ile picha ya "Afande wa JWTZ" na Lema!!!. Hakuna wajinga humu ambao kama wewe watakaoshindwa kutofautisha picha hii na ile ya Lema na "Afande wa JWTZ". Kakae chini na tafuta kitu kingine hapa UMETOKOTA SANA

maswala ya kulinganisha hii picha na ile ya lema umeyaleta wewe, sijamtaja lema wala kufananisha picha hii na yake.
Then, mbona umebubujikwa povu namna hii? jazba ya nini??
Easy bana, punguza hasira.
 
Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
_MG_3233.JPG

Hii kitu inaruhusiwa jamani??
gesh ra porish kwa kushirikiana na vyanzo vyake vya kuoa tarifwa,ritafatiria na kuwatia hatiani hao vijana wanazaniwa kuwa ni ashikari wa geshi ra polish.....lakin pia tarifwa zitategemea na mfumo wa kiintelijensia utakao tupika kukusanya data....na inawezeekana hao vijana pengine sio vijana wetu...asnteni ndugu waandishi.
 
Tazama picha hii kisha katazame picha ya Lema na yule "Afande" kisha ndo ulete swali lako hapa. Kwa mwenye uwezo wa kutafakali na mwenye uwezo wa kufikili hata kwa 0.01% hawezi kulingania picha hii na ile picha ya "Afande wa JWTZ" na Lema!!!.

Hakuna wajinga humu ambao kama wewe watakaoshindwa kutofautisha picha hii na ile ya Lema na "Afande wa JWTZ".

Kakae chini na tafuta kitu kingine hapa UMETOKOTA SANA

hapo kwenye bold;tofautisha basi mbona unatoa mipovu tu..mkuu tokea 2009 umepokea"like" moja tu
 
Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
_MG_3233.JPG

Hii kitu inaruhusiwa jamani??
Hawa mbona kama wamefanana.....Wanaweza kuwa ndugu wamekutana wanasalimiana...binafsi sioni kama hii picha ina tatizo haina ishara yeyote ya kisiasa......
 
chdm jueni kuwa sikio haliwezi kuzidi kichwa. ni sehemu ya kicha na hali itaendelea kuwa hivyo. mnajua maana yachama tawala?
 
Hivi hata hamuwez kuona tofaut ya hiyo picha na ile ya cdm?Inamaana ukiwa askar hauruhusiwi kupeana mkono na mwanasiasa?
 
Hawa askari hatuwafahamu ila tutajitahidi kuwachunguza kisha tutatoa tamko kwa wanahabari.
 
Tofauti na ile ya kwenu(chadema) ambayo lema alikumbatiana na askari fake wa JWTZ kwa mkao wa kujiandaa kabisa kwa kupiga picha! Hapo wanasalimiana kuwapa habari za kiintelejensia....kuwa kuna mtu kapita kavaa mavazi ya mgambo wakati wanajua hakuwahi kimbia mgambo!

Keneth hii id yako ya 20 December haina uhusiano na masalia?
 
tena huyo anayetoa mkono kaweka pozi la kumuangalia mpiga picha, naomba wahusika walitolee tamko na hilo haraka sana kama walivyofanya wa yule feki. kama kwa orijino inaruhusiwa kwa feki ndo hairuhusiwi ili tujue.
 
Back
Top Bottom