Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Mkuu kusalimiana na askari sio kosa, pia kuna tofauti kati ya JW/ Policcm. Police wanaweza kuwepo katika mikutano ya siasa for security reasons, askari wa JW, NoMaafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
![]()
Hii kitu inaruhusiwa jamani??