Askari wangu hasimami kama mwanzo

Ebu nione nitakusaidia unalijua CHANGO kama sio CHANGO utakuwa na ugonjwa wa ngiri nione nikusaidie kama hutojali
 
Kutokana na BMI yako ya 31 unaweza kuwa na Reduced testosterone levels ambayo inaweza affect libido, energy, fertility na hata Lower sperm quality..
 
Uongoo!!
Hata Aucho mwenyewe, kilo 80 hajafika, em weka picha tukuone hapa wee Kabufu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aucho kafikisha 80kgs.
Sergio Ramos wa 2018 alikuwa na kilo 96 hivi ambaye anafanana na Aucho kwa mwili.
 
Huyo ana kiburi tu kwa kuwa overused, mpandishe cheo (zama topeni) uone kama hatosimama.
 
Obesity ya hatari, kilo 104 miaka 26!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…