Askari wa usalama barabarani muogopeni Mungu, mnakula rushwa sana

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Kuna swali muda mrefu nimekuwa nikijiuliza na sipati jibu ila jana nimelipata. Nimekuwa nikijiuliza kwanini ikisimamishwa daladala traffic police hafati gari ila anashuka kondakta na kumfata nyuma??

Sasa jana katika pitapita zangu wakati nimetulia sehemu kuna askari wa barabarani walikuwa wamepaki sehemu wakisimamisha daladala, nilichokiona ni kwamba kila konda akishuka anaifinya buku au buku mbili akifika pale wanapeana mabega anamwachia mzigo kisha konda anarudi kwenye gari chuma kinang'oa.

Jamani kama gari inatatizo piga fine hisika huku kunyamazia kwa izo bukubuku ndio mnacost maisha ya wanaopanda kwa migari mibovu.

Kama utakuwa umenimind wewe mind sikuogopi ila wote inabidi tule kwa JASHO sio ujanja ujanja

Kwa ndugu zangu waislamu nawakumbusha mtume (SAW) amesema "MTOA NA MPOKEA RUSHWA WOTE MOTONI"

Tumuogopeni Mungu hizo bukubuku zitawachoma akhera.
 
nilichokiona ni kwamba kila konda akishuka anaifinya buku au buku mbili akifika pale wanapeana mabega anamwachia mzigo kisha konda anarudi kwenye gari


Halafu watu wamekula posho juzi ati wanakuja na upuuzi huu
Kama mu40 wa rushwa, tumeshauri vijengwe vituo standard vya ukaguzi vyenye cctv camera tuone kama watapigana hayo mabega
 
yaani hii ni sawa na binti anayelaumu umalaya wa wanaume,wakati sheria na utaratibu umeandikwa usizini kabla ya ndoa.

hakufunga miguu.
 
Upumbavu mtupu. Kwa hiyo nyinyi raia mnaona mko sawa kuendelea kutupatia rushwa wakati mnajua fika ni kosa kisheria ila sisi kupokea senti zenu mnaona nongwa.
Mkuu tofautisha Kati ya kupatiwa na kuomba, trafiki wanaomba tena hawaombi wanataka rushwa Kwa lazima
 
Hizo hitilafu ndio mnatakiwa mzisimamie simalizike sio kuomba rushwa tatizo liendelee ajali ikitokea mnakuwa wa kwanza kutoa lawama Kwa Driver wakati nyie kwa njaa zetu mmesababisha yote hayo
tatizo na nyinyi madereva lazima mtoe kwa sababu unakuta wengi magari yenu ya itilafu za hapa na pale
 
Back
Top Bottom