Askari wa kike wa kiisilamu (jeshi na polisi) waruhusiwe kuvaa hijabu

Status
Not open for further replies.
Mi nawashangaa mnaobwatuka huma ndani. Askari gani hao wa kiislamu, maana najua hamna hata mmoja katika utumishi.
 
Mi nawashangaa mnaobwatuka huma ndani. Askari gani hao wa kiislamu, maana najua hamna hata mmoja katika utumishi.
wapo waisilamu na makafiri ndani ya majeshi yetu hivyo nao wanastahili kuvaaa mavasi yatakayowastiri maumbile yao
 
Naamini mavazi yanauhusiano na utamaduni wa mahali na mazingira ya mahali husika. Haya mambo ya Hijab yamekaa kiarabu. Nahisi inahusiana na tabia za kiarabu. Kwa mawazo yangu kuufunika mwili hakuzuii mawazo potofu kuendelea kuchora picha...Waafrika hatufikirii kama waarabu ambao uchafu wa tabia na mawazo yao walichomwa enzi za Sodoma na Gomora. Sie wabantu huku tulivaa magome na hatukufanya waliyoyafanya mpaka nchi ikachomwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom