Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

Natamani mabinti mujifunze kitu hapo. Kulala umejisitiri kunafaa sana haswa wakati huu ambapo dini zinaenezwa kwa kuua makafir. Huwezi jua wanatokea lini na wapi, hivyo ukitoka nduki, uwe umejitayarisha.
Mhurumieni mwenzenu, labda jamaa ampe kombati yake
 

Sasa mkuu na huu mgao wa umeme hapa Dar unategemea mabinti wa dar watajistiri kweli?bcoz some times fan inazidiwa unaamua kuizima!!
 
Sasa mkuu na huu mgao wa umeme hapa Dar unategemea mabinti wa dar watajistiri kweli?bcoz some times fan inazidiwa unaamua kuizima!!

Angalia nguo ya huyo bint ina maana haja ndogo ilimhusu sana kila akisikia mshindo wa risasi. Sa ingekuwa nguo nzito kidogo angejisitiri. Je hapo kama alikimbia km 2 hivi. Atarudije bwenini?? Nimesema hiki ni kipindi kigumu, hujui watavamia wapi na lini. Ka amani ipo, laleni nje na neti za asante jk ziwahifadhi mbu
 

Sasa unawashauri walale na hijab?
 
Hakuna uwezekano Wa kumaliza kabisa tabaka la watu hawa wanaoua watu wasio na hatia?
 
Binti huyo yuko traumatized, kumbuka wanafinzi wamevamiwa saa kumi na moja asubuhi wakakurupuka kukimbia wakiwa wamevaa night dress au underwear tu, kwa hiyo wakati wa kuwaokoa ilibidi kwanza kuwahakikishia kwamba wao maskari ni vyombo vya dola siyo al shabab, na pili wakishawaokea kuwahakikishia usalama na kuwaonyesha upendo mkubwa ili akili zao zitulie.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…