Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

Katika picha zote zile uliiona hiyo tu mkuu?
 
Hapo atamsindikiza mpaka kwao kilometer 20
 
Daah..

Askari huyu shujaa sana kwa uokoaji

Muokolewaji safi sana.
 
Hata Mimi ningekuwa eneo la tukio nisingemuacha kabisa...
 
Akili yake ipo kikazi zaidi pamoja kwa mwonekano wa nje watu wanaweza kumchukulia kitofauti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…