Katika hali isiyo ya kawaida kuna askari jeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda wameweka kambi mpakani mwa wilaya ya Karagwe kunini hapo mwenye taarifa zaidi atujuze,
chanzo nimimi mwenyewe,
Umekaa nyuma ya keyboard uharo unatoka wenyewe halafu unajifanya kutoa pofu! Unafikiri vita ni mchezo!
Nia tunayo, sababu tunazo, uwezo tunao, tumtwange tu. Nawaambia askari wetu hawa wakituchokoza piga tu.
Napenda zaidi tuichukue Rwanda iwe sehemu ya Tanzania
Katika hali isiyo ya kawaida kuna askari jeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda wameweka kambi mpakani mwa wilaya ya Karagwe kunini hapo mwenye taarifa zaidi atujuze,
chanzo nimimi mwenyewe,
Am sure kabisa mtoa mada yuko sawa...tz ni taifa na lina intelijensia..watalifanyia kazi naamini hawatakurupuka wala kutotumia busara.....kwa 100%.