Askari wa Kagame wapiga kambi mpakani mwa Karagwe;

Askari wa Kagame wapiga kambi mpakani mwa Karagwe;

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
510
Reaction score
346
Katika hali isiyo ya kawaida kuna askari jeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda wameweka kambi mpakani mwa wilaya ya Karagwe kunini hapo mwenye taarifa zaidi atujuze,
chanzo nimimi mwenyewe,
 
Nasi tushajiandaa vya kutosha, ngara na base kubwa zaidi somewhere. Ndege mizinga and all, so do not worry.
 
Katika hali isiyo ya kawaida kuna askari jeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda wameweka kambi mpakani mwa wilaya ya Karagwe kunini hapo mwenye taarifa zaidi atujuze,
chanzo nimimi mwenyewe,

Wana haki kulinda mipaka ya nchi yao
 
Nia tunayo, sababu tunazo, uwezo tunao, tumtwange tu. Nawaambia askari wetu hawa wakituchokoza piga tu.
Napenda zaidi tuichukue Rwanda iwe sehemu ya Tanzania
 
Plis mods toeni hii habari ni threat for national security,hemb jaman tuwe tunachangia maada ambazo zina source na za kuaminika sio mtu ashibe tu ugali anaanzisha thread tena very sensitive

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Katika hali isiyo ya kawaida kuna askari jeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda wameweka kambi mpakani mwa wilaya ya Karagwe kunini hapo mwenye taarifa zaidi atujuze,
chanzo nimimi mwenyewe,

Taarifa hizi zinatisha wananchi wasioelewa bila misingi ya maana. Wakati mwingine ni heri ukae kimya!
 
km wako mpakani mwao haina shida wanalinda nchi yao bt km wanalingne wasije thubutu.Afrika nzima inalitambua jeshi la Ardhini la tz.TUKO IMARA KULIKO UNAVYOWEZA KUFIKIRI.
 
Nia tunayo, sababu tunazo, uwezo tunao, tumtwange tu. Nawaambia askari wetu hawa wakituchokoza piga tu.
Napenda zaidi tuichukue Rwanda iwe sehemu ya Tanzania

Umekaa nyuma ya keyboard uharo unatoka wenyewe halafu unajifanya kutoa pofu! Unafikiri vita ni mchezo!
 
Wanajeshi zaidi ya 5000 wanafanya mazoezi eastern cape s.a,lengo kuingia kwa nguvu katika nchi zenye migogoro ni kuhusiang na makubaliano ya mkataba wa 13 unaojulikana kama jointy peace army<usaraf>mjumuiko wa vikosi vinavyoshiriki nusu ni waamerika na nusu ni wahapa afrika itajumuisha elephantries#air forces#navy and medical speacial team~kagame ujambazi wake dhidi ya congo unakwisha kabisa #ref .people daily online
 
usikute mleta mada ni kati ya adui wa kagame yupo hapa ktk kutuchonganisha na rwanda.i have been very wise recently to post cmmnts on topics like these(rwanda vs tz).eti chanzo ni mim mwenyewe!!.
 
Wanajeshi zaidi ya 5000 wanafanya mazoezi eastern cape s.a,lengo kuingia kwa nguvu katika nchi zenye migogoro ni kuhusiang na makubaliano ya mkataba wa 13 unaojulikana kama jointy peace army<usaraf>mjumuiko wa vikosi vinavyoshiriki nusu ni waamerika na nusu ni wahapa afrika itajumuisha elephantries#air forces#navy and medical speacial team~kagame ujambazi wake dhidi ya congo unakwisha kabisa #ref .people daily online

[h=1]S. Africa, U.S. forces to conduct joint exercise[/h]
[h=3](Xinhua)[/h][h=3]08:15, July 12, 2013
icon16.gif
[/h][h=4][/h]CAPE TOWN, July 11 (Xinhua) -- The South African and U. S. armed forces will conducta joint exercise in Eastern Cape to raise preparedness for intervention in an unstablecountry, it was announced on Thursday.

The exercise, codenamed Shared Accord 13, is a joint peacekeeping and humanitarianexercise. It is part of the efforts by the U. S. Army Africa (USARAF) to incorporate apartner nation in an exercise prior to going to Africa.

All branches of the South African National Defense Force (SANDF) will take part in theexercise that will run from July 24 to August, South African navy Capt. Jaco Theunissensaid.

The exercise will involve the army, air force, navy and medical units, with theparticipation of 5,000 soldiers, according to Theunissen.

"We are exercising to do a human support intervention in an unstable country," saidTheunissen.

"What we simulate is what is currently happening in a lot of countries in the world,especially in the African continent.

"You've got warring factions destabilizing the country.... We are exercising the war fight,where you will fight against rebel groups."

Medical units would also practice giving basic medical healthcare to a local populationin an unstable warring environment, according to the South African Press Association.

Source: http://english.peopledaily.com.cn/90777/8322862.html
 
Kama mtoa mada nasema alikuwepo eneo la tukio let us know wako wangapi na ni mazoezi ya aina gani hayo!
Pia aina ya vifaa wavitumiavyo.
Otherwise to me I treaty this as TETESI
 
Tusipoangalia hizi propaganda zinaweza kutufanya tupigane vita kwa niaba ya WAHUTU bila kujielewa, sababu ya ukilaZa wa watawala wetu!!
 
kama kuna mtu mwingine anayeish uko aseme nin kinaendelea uko,au kama kuna mjeshi uko atupe habari kamili
 
Katika hali isiyo ya kawaida kuna askari jeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda wameweka kambi mpakani mwa wilaya ya Karagwe kunini hapo mwenye taarifa zaidi atujuze,
chanzo nimimi mwenyewe,

Mkuu maeneo gani? Karagwe kubwa sana.Jaribu kuuliza kwa wenyeji kama ni mara ya kwanza hao askari kuweka kambi hapo.
 
Back
Top Bottom