Ndoa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 1,033
- 254
nia tunayo, sababu tunazo, uwezo tunao, tumtwange tu. Nawaambia askari wetu hawa wakituchokoza piga tu.
napenda zaidi tuichukue rwanda iwe sehemu ya tanzania
mkuu tutachukua matatizo
nia tunayo, sababu tunazo, uwezo tunao, tumtwange tu. Nawaambia askari wetu hawa wakituchokoza piga tu.
napenda zaidi tuichukue rwanda iwe sehemu ya tanzania
Ni kweli. Mtikila alikwisha mwaga sumu ya uchonganishi vya kutosha!!Tusipoangalia hizi propaganda zinaweza kutufanya tupigane vita kwa niaba ya WAHUTU bila kujielewa, sababu ya ukilaZa wa watawala wetu!!
hahahhahahhah ana harisha huyo hahahahhahahahUmekaa nyuma ya keyboard uharo unatoka wenyewe halafu unajifanya kutoa pofu! Unafikiri vita ni mchezo!
Hivi maneno unayoyasema unajiona ni mzalendo kabisa?Katika suala la vita likitokea sidhani kama haya maeneno unayoyatamka yatakuwa na mashiko kwa Watanzania, hata huto dhaifu unaemsema usidhani atakubali wananchi wake wavamie kihivi hivi, nadhani wewe si mtz, labda wale walioomba uraia, pole sana .Kagame anajua Dhaifu hana mshikamano na watu wake ndio maana anaona njia nyeupe, bora atusaidie kumuondoa huyu dhaifu maana anatuharibia nchi yetu.