Hizi ni akili ndogo na za kizamani na za kipuuzi! Kama unajua kuwa hao Wananchi wanaishi na wahalifu then utawajua na wahalifu! Nini kinachokuhakikishia kuwa hao wahalifu wamo uraiani? Badala yake hapo ndo pa kuacha kuwafuatilia Wahalifu husika na kuwaonea Raia! Li wapi jeshi la Polisi linalojisifu kwa Intelligence? Kwa Intelligence yenye akili wangedraft theories za kutosha na wangewapata wahalifu bila ya wasiohusika!Bora mchapwe tu maana hao waovu mnaishi nao na mnawajua lakini hamjatoa ushirikiano(proactively) kwa polisi.
Tena kuanzia sasa mtaishi kwa shida sana