Askari polisi waanza kuchalaza wananchi bakora

Askari polisi waanza kuchalaza wananchi bakora

Sidhani kama taarifa hii ni kweli Polisi hawawezi kuingia mitaani na kuanza kupiga watu viboko.

Kwanza Jeshi la Polisi hawana viboko kama kifaa cha kazi nadhani mtoa mada anataka kuleta uhasama zaidi kati ya Polisi na raia.

Naona na wachangiaji tunachangia tu bila kuangalia mtoa mada dhamira yake ni nini hasa.

Huko Bungu Viongozi wa jamii watasema kama ni kweli kuwa wanainchi wanapigwa ovyo na Polisi mitaani.
Mkuu , kuwa makini .
Taarifa niloitoa nimeitoa kwa nia njema na kwa mapenzi makubwa nilonayo kwa taifa letu. Naunga mkono asilimia zaidi ya mia moja uwepo wa askari polisi hapo bungu. Zaidi ya askari wetu kupoteza maisha juzi, tumeshapoteza ndugu zetu kutokana na unyama unaoendeshwa na hao magaidi.
 
Hili jambo lilikuwa la kipelelezi kwa phase-1

Hili jambo halikuhitaji kikosi cha mizinga

Kulihitajika wapelelezi kama 15 <×< 20 kwenye location tofauti tofauti.

Wanapewa kila kitu

walevi wanapewa fedha ya kunywea muda wanapeleleza taratibu bila kutambulika... enzi ya Nyerere

Kwa wale wapenda totos kama mimi wanapewa mpunga wakuchukuwa vimwana wa nguvu nakuwatafiti taratibu bila kutambulika....enzi ya Nyerere

kwa wale waalimu wanapelekwa kwa dharula kufundisha maeneo hayo... enzi ya Nyerere

Bila kusahau wachoma nyama na wauza mahindi.... enzi ya Nyerere

Isingechukuwa miezi miwilli wangepata taarifa za ndani kabisa naza-uhakika....

Baada ya hapo......kikosi kinatumwa kuchukuwa mizigo husika kwa uhakika zaidi

Sio huu upumbavu wa-kumbakumba ya wasionahatia ....kuwapiga....kuwanyanyasa na kuwadhalilisha


NI-USHENZI NA UONEZI USIOVUMILIKA
Umenena vyema mkuu
 
Sawa, Lakini uthibitisho, kama kweli kuna wananchi wanachalazwa viboko...!
Yanatokea hayo wewe subiri yakukute ndo utaelewa...Kuna wakati fulani Askari mmoja alinyang'anywa fimbo ya mkononi mtaani jioni, matokeo yake walikuja shika shika watu wengi ambao baadaye walionekana hawana kosa

Sasa hapo utasemaje..!
 
Bungu ni kituo cha basi, ama kijiji? Tunahitaji ukweli kabla ya kuchukua hatua stahiki!
Kama unataka kuchukua hatua stahiki njoo eneo la tukio sio unauliza maswali mitandaoni.Hapa pako shwari kabisa
 
Bungu ni kituo cha basi, ama kijiji? Tunahitaji ukweli kabla ya kuchukua hatua stahiki!
Kama unataka kuchukua hatua stahiki njoo eneo la tukio sio unauliza maswali mitandaoni.Hapa pako shwari kabisa
 
Mkuu , kuwa makini .
Taarifa niloitoa nimeitoa kwa nia njema na kwa mapenzi makubwa nilonayo kwa taifa letu. Naunga mkono asilimia zaidi ya mia moja uwepo wa askari polisi hapo bungu. Zaidi ya askari wetu kupoteza maisha juzi, tumeshapoteza ndugu zetu kutokana na unyama unaoendeshwa na hao magaidi.
OK powa
 
Habari za jioni,
Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu wanachapwa ovyo mtaani. Hii sio haki kabisa.
Ili kupata suluhisho la tatizo hili polisi na vyombo vyetu vya usalama vitumie ueledi wa hali ya juu kabisa.

Watu wanaoanza kupata misukosuko yanapotokea majanga kama haya ni wa vijiweni wanaokaa siku nzima vijiweni wanavuta bangi,watu ambao hawaeleweki wote wanazuiwa hata hawa wanaokula fimbo Itakuwa wana matatizo huwezi niambia mtu uko zako ofisini polisi waje kukubugudhi
 
Kama ni kweli unachosema sio approach nzuri
 
Kama unataka kuchukua hatua stahiki njoo eneo la tukio sio unauliza maswali mitandaoni.Hapa pako shwari kabisa
Mkengeni jana nimeshuhudia kwa macho yangu. Leo hii nimeonatena tukio la watu kupigwa kwa macho yangu hapo bungu b.
 
Mkengeni kwa mwalimu hayati lei umenikumbusha mbali mkuu.
 
Nilisema toka awali. Katika matukio kama haya polisi wasipotumia weledi wanaweza kujikuta wanawaumiza watu wengine wasiohusika na hasa vijana na kuaacha wahusika halisi wakitokomea na hii itazidisha chuki zaidi kati ya polisi na raia. IGP abasema watawadaka wote wanaowakebehi polisi badala ya kuwapa pole. Kwanza ajue pole haiombwi wala hailazimishwi. Sasa katika mazingiza ya kucharaza watu bakora ovyo hao wanaocharazwa bila hatia watakuwa na moyo wa kuwapa pole kweli?
 
Polisi wetu kwa kawaida hawana weledi.No wazuri zaidi kwa kupiga na kuuwa wapinzani
 
Hata huku mwanza kuna vijana wamechukuliwa ma kupelekwa kusiko julikana. Inasemekana walikuwa wamejikusanya huku wanazungumzia siasa na kuikashf serkal.

Kama serkal imeamua kutafta namna ya kunyanyasa wananch wao kwa kisingizio cha kuuwawa askar. Mungu anawaona
 
Habari za jioni,
Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu wanachapwa ovyo mtaani. Hii sio haki kabisa.
Ili kupata suluhisho la tatizo hili polisi na vyombo vyetu vya usalama vitumie ueledi wa hali ya juu kabisa.
Bora mchapwe tu maana hao waovu mnaishi nao na mnawajua lakini hamjatoa ushirikiano(proactively) kwa polisi.

Tena kuanzia sasa mtaishi kwa shida sana
 
Back
Top Bottom