Askari Polisi nao ni binadamu

Askari Polisi nao ni binadamu

Based on tukio lilipo tokea na mazingira yenyewe. Only people with guns walikuwa polisi. Na polisi ndio walio fyatua risasi hewani.
 
Ni RAIA gani atathubutu kufya risasi kwenye taflani kama ile?atajiamini vipi nauku kuna polisi
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa
 
ni raia mwema tuu mimi mkuu na ndio maana mwanzonikatanguliza nipo tayari kukosolewa,hivo ni mawazo yangu
Ulishawahi hata siku moja kuona raia wakiandamana wakiwa na bunduki?
Na iwapo ingekuwa ni waandamanaji wangeua polisi siyo raia.
Tanzania sema hatujaendelea kwenye forensic investigation wangepata risasi iliyomuua yule binti wangeweza kujua ilitoka kwenye bunduki ya askari sani maana kila bunduki ina identical prints inazoacha wenye risasi
 
Hiyo risasi imetoka kwa watu wasiojulikana ila Mungu ni mwema ndo maana leo kaamua kuwaonesha hadharani kwa kupitia kumuua huyo mwanafunzi... Angekuwa ni dadangu sidhani kama ningeruhusu kiongozi yeyote ang'ae msibani.. Kwani ningechafuka faru nyuma.. Ningewanyima hata viti vya kukalia
 
Habari za muda huu ndugu zanguni mabibi na mabwana(WAKUU) humu ndani ya chama poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta GIRISI(by mkulu voice) ili kutatua mkazo huu wa vyuma ambao unatuandama awamu hii.

Kwanza napenda kutoa pole(kama binadamu) kwa kuondokewa kwa bahati mbaya dada yetu(mwanafunzi) wa NIT kwani ni katika mazingira tatanishi sana Mungu aiweke roho yake mahali pema.Pasipo kupoteza muda ndugu zangu baada ya vuguvugu la siku chache zilizopita za uchaguzi na binti kupigwa risasi kuna mambo machache ya kuambizana na kujifikirisha hapa.

Sasa katika hili tatizo lililotokea ni kweli imetokea kiasi kwamba kuna baadhi ya raia wanadai walishuhudia wakati risasiinapenya ktk mwili wa mwanafunzi.ila tujiulize maswali haya:

1.je,kuna uthibitisho gani kama askari ndiye aliefyatua risasi maana kamanda mambosasa amebainisha kuwa yawezekana ile risasi haikutoka mikononi mwa askari ila watu wasiojulikana ambapo ukiangalia kwa jicho la pili utaona kamanda anaweza kuwa sahihi maana mashuhuda wote hawakuona kama ilitokea upande wa polisi kwani kulikuwa na vuguvugu na hvyo watu wabaya wakatumia nafasi hiyo.

2.kama askari ndio waliofyatua risasi je matumizi ya silaha kwa askari yapoje? kwanini wachunguzwe askari wa chini waliotumia silaha za moto katika hiyo ghasia wakati silaha zinaizinishwa na wakuu wa jeshi la polisi kabla ya kuzitumia(huwaruhusu kutumia) na kuachishwa waachishwe waliotumia?

Ndugu zangu tujaribu kuangalia kiubinadamu haya maswali mawili kuhusiana na haya matukio,yaani uhakika wa aliyepiga risasi na hukumu kwa askari waliotenda ilhali ruhusa ya matumizi ya silaha hutoka juu ambapo wawajibishwaji wangeanzwa na maafsa wa jeshi kwanza.

Niko tayari kukosolewa kwa huu waraka mfupi kuhusiana tukio lililotokea siku chache zilizopita.
[HASHTAG]#Africanar[/HASHTAG]
Asee unacho sema ni sahihi.
Lakini pia na sisi tunaitaji kujua tumekose wapi kwa tukio zima hili
 
Kama unaamini uwepo wa Mwenyezi Mungu nenda kaombe toba yako, siyo kwa mauwaji bali kwa hiki ulichoandika hapa.
 
Hakika n vigumu polisi kutoka katika mambo haya n ndio tatizo cha kwanza DHULUMA cha pili KUSHITAKI KWA UONGO tatu KUTO RIDHIKA NA MISHAHARA YAO (RUSHWA) hakika hayabndo shda kwao na daima wataish maisha duni kutokana na hayaa
 
Ulishawahi hata siku moja kuona raia wakiandamana wakiwa na bunduki?
Na iwapo ingekuwa ni waandamanaji wangeua polisi siyo raia.
Tanzania sema hatujaendelea kwenye forensic investigation wangepata risasi iliyomuua yule binti wangeweza kujua ilitoka kwenye bunduki ya askari sani maana kila bunduki ina identical prints inazoacha wenye risasi
bila shaka wewe ni polisi
 
Hiyo risasi imetoka kwa watu wasiojulikana ila Mungu ni mwema ndo maana leo kaamua kuwaonesha hadharani kwa kupitia kumuua huyo mwanafunzi... Angekuwa ni dadangu sidhani kama ningeruhusu kiongozi yeyote ang'ae msibani.. Kwani ningechafuka faru nyuma.. Ningewanyima hata viti vya kukalia
hahaa
 
Crap
Katika watu wa CHADEMA kuna mtu alikuwa amebeba bunduki?
Ushasahau mauaji ya watu wa tatu Arusha ambayo yalifinyika kama ya huyu mwanafunzi?
 
Chama la wanyang'anyi daimaa hutumia mabavu na vyombo vya dola na c vingenevyoo hawana lakutuambia tena bali sasa tulazimishwa na ukiwa against ujue utapotelea kusiko julikana kama sio kifooo
 
Kutumia siraha ya moto kwa watu wasio na hata fimbo ni kosa mkuu polisi walitakiwa kwenda na vilungu tu hakukuwa na vita huko
 
Back
Top Bottom