Askari Polisi nao ni binadamu

Askari Polisi nao ni binadamu

Sijawahi hata kutumia bunduki lakini najua kuwa kila gun barrel ina tofaut inayoacha kwenye risasi inavyo vyatuliwa.
Wanachofanya huwa wanachukua ile risasi iliyoua halafu wanachokua bunduki wanazohisi ndizo moja wapo ilifyatua hiyo risasi wanatumia hizo bunduk kifyatua risasi kwenye mtungi wa maji kisa zinaenda kuringnishwa alama zake na hiyo risasi kwenye microscope itakayoendana na risasi iliyomuua marehemu watajua ilitoka kwenye bunduki flani na alikuwa anaitumia flani
mh upo vizuri afande
 
Kama na wewe ni polisi kaa ukijua dawa yenu inachemka. Ipo siku na wewe lazma utunguliwe
 
Hapo nyekundu na kupigiwa mstari. Kamanda anamaanisha aidha polisi au sio polisi kwa sababu kuna raia wanamiliki silaha kihalali. Swali, ni kwa asilimia ngapi yaweza kuwa sio polisi au kuwa watu wasiojulikana? Na kwa kiwango gani cha confidence ya kitawimu yaweza kuwa kati ya ubashiri wake waweza kuwa kweli au la? Watu wasiojulikana, wawezaje kujua tabia zao?

Hapo kwenye buluu na kupigiwa mstari. Kwa kutumia data iliyokusanywa kwa mashuhuda, je, hilo vuguvugu halikuwa upande wa polisi? Je, hao mashuhuda sio kati ya watu wasiojulikana? Hao mashuhuda wana macho ya aina gani ya kuona trajectory ya risasi ikiwa kwenye kasi yake baada ya kufyatuliwa? Je, ni risasi moja tu ndio iliyofyatuliwa katika tukio hilo? Na hao watu kama ni kweli mashuhuda, iweje wahusika wasijulikana wakati macho yao yana uwezo wa kuona risasi ikitoka kwenye mtutu na uelekeo wake mpaka mwisho? Yaani, hiyo brain sio ya kawaida?

Mwisho kabisa, kwa nini serikali inabeba dhamana ya mazishi ya marehemu?
well said mkuu,you are real great thinker ila sijayapata hayo maelezo sawia
 
Asee naandika nafuta

Lakini Naiombea Tanzania yangu niiache kama nilivyoikuta
 
Back
Top Bottom