Ww mwenye ELIMU umesaidia nin katika nchi hii??Elimu yao nayo inachangia
Ww mwenye ELIMU umesaidia nin katika nchi hii??Elimu yao nayo inachangia
Acha kuchafua Jeshi letu la Polisi tuache jamaa wapige kaziDaah,kuna kipindi polisi mmoja alichukua mpk 2000 tu,ili atoe loss report.jamaa wanapenda rushwa sana
Huyo mtoa post akili zake zimekufa ameandika pumbaaMtoa UZI kuweka mambo sawa na kuwasaidia kazi hao unaoona watasaidia kutatua kero hizo ni vyema ungeweka wazi ni wapi? Ukakasi huo umekupata.
Kuliko kusema kwa ujumla kwa mtatua kero jibu ni jepesi kwa issue kubwa yaani SAWA TUMEKUSIKIA TUTALIFUATILIA.
Sawa kabisa watu wengine akili zao zimekufaKuwa na aibu we binadamu,shilingi elfu tano kumpa askari unatokwa na macho kama mjusi aliyebanwa na mlango huku nyuma umeachia ACACIA wanatafuna matilioni!!.Waacheni askari wetu wapate pesa ya kusafishia viatu.
Mh mh ww upo dunia gani? ? Uhakik umefanyika hamna skendo Polisi, usichafue Jeshi la PolisiMtu anaishia form two anchonga cheti cha form four anaingia CCP baada ya miezi 6-9 yupo mtaani ni Polisi.
Matokeo yake ndio haya tunayoyaona.
Huyo mjinga sanaUna ushahidi?
Umeandika ujingaaaMtu anaishia form two anchonga cheti cha form four anaingia CCP baada ya miezi 6-9 yupo mtaani ni Polisi.
Matokeo yake ndio haya tunayoyaona.
Watu wengine akili zao zimekufa wasikuumize kichwaWabongo kwa lawama, utakuta hata polisi hajaenda kaulizia tu kwa jirani ANAJISHUKU SHUKU. Mimi hata mwezi haujaisha nimeenda KITUO CHA MSIMBAZI Nikapewa LOSS REPORT kwa 500 tu tena faster bila usumbufu na risiti juu
- WATANZANIA WHY MNAPENDA KUJISHUKU SHUKU SANA ??
Acha hizo kashfa ww unajifanya unaakili kuliko Polisi eeee? ?jipange upyaSuala la kupiga cm ni sawa lkn je, watanilinda kama mtoa taarifa au nitakuwa exposed nitafutwe na walionifanyia hvyo niishi kama panya buku bila amani mjini??
Tusichafue Polisi wetu jaman hiv ni Polisi gan wa kutaka kaelfu tano kako? ?Hivi kweli nimepoteza kitu na bado nitoe rushwa kwa kupewa kibali tu?? Hyo elf tano ww askari una mshahara wa above 4k na posho 3k humuonei huruma maskini ambaye anafnya vibarua apate hela ya kula na hana permanent salary??
Huo sasa ujingaMagu hawezi kusogea huko, ndiyo mkono wake wa chuma.
Basi we ni upumbavuHuo sasa ujinga
Kwani wewe umemaliza form four?Umeandika ujingaaa