Askari Polisi (FFU) aliyebaka mwanafunzi Jela miaka 30

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
Askari polisi Rafael Paulo aliyekuwa kitengo cha kutuliza ghasia FFU jijini Arusha amehukumiwa jela miaka 30, viboko 12 na faini milioni 15.

Yeye amesema hakubaliani na hukumu hiyo, atakata Rufaa.
 
sisemi na kubaliana na mhali,fulakini mazingira na maelezo ya mbakwaji yanachanganya sana
 
Hiyo kesi imehukumiwa kihisia zaidi, yule mwanafunzi alijikanyaga sana kwenye maelezo.
 
Kama huyu jamaa ni ndugu yako, ukitaka apate unafuu, na hata kesi ikajadiliwe bungeni, wewe jenga mazingira kwamba UKAWA wanasapoti sana hiyo adhabu sababu ya manyanyaso ya polisi, fasta tu utasikia hukumu imeanza kujadiliwa, hahaaa..hahaa hii nchi sometimes raha sana.
 
Nilijua umeumia robot lako kula mvua. Ndiyo maana tunasema nchi hii ni yetu sote tuheshimiane, unaweza kudhani mahabusu na magereza ni kwa ajili ya upande wa pili kumbe sio. AKOME
Aliyebakwa amepewa nini nayeye???

Bado ratio ya hayo uliyosema ni1/1000.
 
Back
Top Bottom