Askari Polisi (FFU) aliyebaka mwanafunzi Jela miaka 30

Sheria kweli inakata huku na kule, jamaa aliyekuwa anapiga wengine virungu anaenda ******debe?. Pole yake lakini.
 
[QUOTalali na hela, post: 16657822, member: 96921"]Apigwe ndani. mapema[/QUOTE]
Omba yasikukute mkuu miaka 30 ni parefu
 
Askari polisi Rafael Paulo aliyekuwa kitengo cha kutuliza ghasia FFU jijini Arusha amehukumiwa jela miaka 30, viboko 12 na faini milioni 15.

Yeye amesema hakubaliani na hukumu hiyo, atakata Rufaa.
Mahakama ya level gani ?
 
shemeji

akubaliani = hakubaliani
ukumu= hukumu

samahani lakini
Mkuu siku hizi imeshakua ni kama kawaida tu kwa mtu kutokutumia herufi "h" jaribu kuchunguza utaona maajabu aisee!! Kuna hii "Alafu" kama imeshakua ndio mbadala wa "Halafu" tena mijitu mingine mizima!! Inasikitisha sana aiseee,Kaazi kweli kweli..!!
 
"Kaazi" ni sahihi? Pili acha matusi/lugha ya kuudhi. Enjoy your keyboard!
 
Ngoja akate rufaa halafu mahakama itoe maamuzi kuwa anyang'anywe silaha ya kubakia HARAKA!!
 
Mkuu siku hizi imeshakua ni kama kawaida tu kwa mtu kutokutumia herufi "h" jaribu kuchunguza utaona maajabu aisee!! Kuna hii "Alafu" kama imeshakua ndio mbadala wa "Halafu" tena mijitu mingine mizima!! Inasikitisha sana aiseee,Kaazi kweli kweli..!!
mimi mtu akinitumia ujumbe wa hivyo namdharau moja kwa moja .......hata kama ni jambo la maana nampuuzia by the way baba watoto wangu alikuwa anatabu hii ila nimemfunza mpaka akaelewa mambo ya kuniambia husinipikie badala ya usinipikie siyataki
 
Back
Top Bottom