Askari Polisi (FFU) aliyebaka mwanafunzi Jela miaka 30

ANA MIAKA 25 + 30 KITOKA HUKO ANA 55 HALAFU ALIPE 15 MILIONI AKISHAKUWA MZEE WA 55 YEARS HAHAHAHAHA JIHADHARINI NA UBAKAJI JAMANI

WANAWAKE WAPO MPAKA WA BUKU JERO UNABAKA ILI?
 
Wale wazee wa kuchangia watenda maovu mchangieni na huyu hizo million 15
1467095960937.jpg
HUYU NI MWENZENU MCHANGIENI
 
Great....ilikuwa ni tukio la kusikitisha sana. Japo adhabu hiyo haitampunguzia athari huyo binti
 
ANA MIAKA 25 + 30 KITOKA HUKO ANA 55 HALAFU ALIPE 15 MILIONI AKISHAKUWA MZEE WA 55 YEARS HAHAHAHAHA JIHADHARINI NA UBAKAJI JAMANI

WANAWAKE WAPO MPAKA WA BUKU JERO UNABAKA ILI?
Baada ya miaka 30, Milioni 15 itakuwa hela ndogo sanaa mkuu, so nina imani kama atakuwa hai anaweza kuimudu hiyo gharama, embu fikiri Miaka ya 1986 Mshahara wa Graduate ulikuwa kweny shiling 100 hadi 600. Kipindi hicho mtu akipigwa faini kama hiyo ilikuwa inaangaukia kwenye 6000 mpka 9000.Leo hii 9000 ni hela ya kilo moja ya nyama mbuzi .
 
ATAANZA KUIPATIA WAPI KWA MFANO UMRI HUO
WA KUSTAAFU NGUVU HANA .................... NA HUU MFANO WA THAMANI YA PESA SIO KABISA NI KINYUME CHA ULICHOANDIKA HAPA
 
Kweli kujadiliwa kisiasa na UKAWA huchelewi kusikia huko bungeni mmoja akiomba mwongozo kuwa hukumu ya Askari ilitolewa kisiasa kupendelea UKAWA. Hvyo nyamezeni kmya ili huyu Mmbakaji aendelee kunyea ndoo
 
Back
Top Bottom