Askari polisi aingia msikitini na viatu

Askari polisi aingia msikitini na viatu

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Askari polisi mmoja wa serikali ya uganda, ameingia msikitini na viatu akipiga watu waliokuwa wakiandamana kupinga ongezeko la ada ya vyuo vikuu nchini humo, mtu mmoja (nadhani ni sheikh) amesikika Voice of America akisema angeamrisha waumini wamuue askari huyo kwa utovu huo wa nidhamu,

Source: BBC World Service

Sina hakika kama waliokimbilia msikitini humo walivua viatu kabla ya kuingia.
 
Viatu tu auliwe??? Je angeingiza na nguruwe ingekuwaje?

...Udini sitaki tena....sasa nipo kwenye katiba plz usinitoe huko...
 
Mpuuzi kwa vile kaingia na viatu au kwa vile anapga raia wanaoandamana?
Kwanza kuandamana ni haki ya msingi, pili kuingia na viatu msikitini ni dharau kubwa sana kwa imani ya kiislaamu. Ni ishara tosha ya kuonyesha mabavu ya serikali kwenye imani ya watu na muslim nao wangeonyesha hasira yao kwa kumfanya lolote baya ili atie adabu.
 
Nimekupata mkuu ila yawezekana waliingia wengi na viatu, c unajua ktk kujiokoa waweza fanya chochote? Bt anyway, tumsamehe kwa hilo.
Kwanza kuandamana ni haki ya msingi, pili kuingia na viatu msikitini ni dharau kubwa sana kwa imani ya kiislaamu. Ni ishara tosha ya kuonyesha mabavu ya serikali kwenye imani ya watu na muslim nao wangeonyesha hasira yao kwa kumfanya lolote baya ili atie adabu.
 
Viatu tu auliwe??? Je angeingiza na nguruwe ingekuwaje?

nadhani wangemla mzimamzima (sio nguruwe), ndo wakome hao askari maana wanaboa sana siku hizi, badala ya kukamata majambazi wanapiga raia wema wanaodai haki zao.
 
Nimekupata mkuu ila yawezekana waliingia wengi na viatu, c unajua ktk kujiokoa waweza fanya chochote? Bt anyway, tumsamehe kwa hilo.

Sweetlady sipati picha askari anakimbiza watu, halafu watu wanakimbila msikitini, halafu aksari akifika mlangoni anavua viatu kwanza kabla ya kuendela na kazi, akimaliza kuwapa kibano anachukua buti yake anasepa ha ha ha ha!!!. (with alight touch jamani msini maind)
 
Mkuu tunajua wewe ni mwamba na maneno yako murua wakati mwingine kabla ujatoa hoja yako jaribu kuwa Etiquette na imani za wenzako
 
Askari polisi mmoja wa serikali ya uganda, ameingia msikitini na viatu akipiga watu waliokuwa wakiandamana kupinga ongezeko la ada ya vyuo vikuu nchini humo, mtu mmoja (nadhani ni sheikh) amesikika Voice of America akisema angeamrisha waumini wamuue askari huyo kwa utovu huo wa nidhamu,

Source: BBC World Service

Sina hakika kama waliokimbilia msikitini humo walivua viatu kabla ya kuingia.

Allah is full of love. KIll them that wear shoes in the mosques.
 
Back
Top Bottom