Elections 2010 Askari Police Wawili Walichinjwa Kama kuku Arusha!!

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
Nimesikia Askari Police Wawili Walichinjwa Kama kuku Arusha!! hivi Tanzania tumefikia hapa?
serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Waliopo Arusha jambo hili lilitokea?:shut-mouth:
 
mhhh unaweza kuficha vifo vya binadamu kweli? hata vyombo vikizibwa na ndugu nao wasiongee? sidhani mkuu
 
Wapi Paka Jimmy!!!
 
imebakia tetesi tu tangu tarehe 5-1-2011, kuna wanachama mmoja wa JF yeye alitoa taarifa akidai alizipata kutoka ndani ya polisi kuwa kuna polisi moja aliuwa na wengine wawili walikuwa mahututi moja akiwa yule alie jipiga bomu kwenye paja kwa bahati mbaya lakini taarifa za polisi kwenye vyombo vya habari ni kwamba kuna polisi watatu waliumia na bado wamelazwa....iko siku tutaujua ukweli.....
 
mhhh unaweza kuficha vifo vya binadamu kweli? hata vyombo vikizibwa na ndugu nao wasiongee? sidhani mkuu
inavyodaiwa alieuwawa ni wale wanafunzi wa CCP kwa mjibu wa Mzee wa rule ambae ni mwanachama wa JF, ambao wanaweza kukaa na mwili kwa mda mrefu kadi wana vyotaka bila familia ya mhusika kujua...
 
kama ni kweli, basi itakuwa hatari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi sidhani kama ni kweli! Kama ingelikuwa ni kweli Askari wameuwawa, si ndio wangepata sababu tosha na ushaihidi dhidi ya Chadema???!!!!
 
info niliyopata kutoka a.town
ni;
askari mmoja alichomwa bisibisi,mwingine alilipukiwa na bomu kwenye paja ,ila nadhani wanauguzwa huko mikoani walipotoka i.e tanga ,manyara,moshi n.k
 
info niliyopata kutoka a.town
ni;
askari mmoja alichomwa bisibisi,mwingine alilipukiwa na bomu kwenye paja ,ila nadhani wanauguzwa huko mikoani walipotoka i.e tanga ,manyara,moshi n.k
In that case,Jeshi la police lingetoa japo briefing on the status ya hao Askari walio chomwa Bisisi na aliyelipukiwa na Bomu.Website yao ipo kimya na magezeti yapo kimya
 
Sasa kama habari yenyewe ni tetesi kwanini hukusubiri hadi iwe confirmed ndipo utuletee?
 
Mimi niko Arusha lakini hizi habari si za kweli! ninachojua ni kua kuna polisi alikodisha Taxi baada ya kutoa noti ya shilingi elfu kumi kwa Taxi dereva huyo kilichofuata ni yule polisi alifyetua risasi na kumlenga dereva huyo, lakini Mungu si Athumani dereva yule yuko hai na bado yuko hosptali akipatiwa matibabu na familia yake imeweka ulinzi mkali kwakua mgonjwa huyo amedai akimuona huyo askari akiwa ndani ya mavazi ya kazi ataweza kumtambua.
 
Tunaomba source tafadhali.
Haiwezekani usikie maneno kutoka kwa kile kidemu chako cha darasa la sita b halafu uje utulishe sisi utoko.
We need the source of ur information
nimesikia askari police wawili walichinjwa kama kuku arusha!! Hivi tanzania tumefikia hapa?
Serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Waliopo arusha jambo hili lilitokea?:shut-mouth:
 
Back
Top Bottom