Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

R I.P askari wetu.
====
Nani alitoa taarifa za awali juu ya ukweli Kuwa masuala ya 'ubakaji' yalisababisha kifo hicho!? Hakuna scenario nyingine kweli!? Tumeelezwa Fundi alikuwa anamjengea marehemu (kama nimeelewa vema post ya kwanza ya uzi huu).
 
Askari nae mtu.

Innalillahi wainna ilayhi rajiuun

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Mbona hamjiulizi zaidi kihusu uwezo wa fundi ujenzi..

Acheni kuwa watu wenye mawazo mgando sana yani mmekazania mjeda kupigwa kabali na fundi ujenzi..
Mnaujua uwezo wa fundi ujenzi tofauti na hiyo taaluma ya ufundi ujenzi?.

Mpaka wanafikia hatua ya kupigana kabali nyuma kilitokea nini..

Lakini na afya ya huyo mwanajeshi ilikuawaje ukute fundi alimtingisha kidogo kumbe mwanajeshi ana afya dhaifu.

Tuna uhakika gani kama fundi hakutishiwa siraha?

Wanaosema alitaka kubwakwa huyo mwanajeshi walimkuta uchi?
 
KWA WANAWAKE
Mwanaume akitaka kukubaka, relax, tabasamu mwambie asiwe na wasiwasi hata wewe ulikuwa na hamu sana, mwambie avue nguo. Akisha vua fanya kama unataka kushika dushe lake,piga bonge la ngumi kwenye mapu...mbu, nyegezi zote zitamtoka
 
Nimèjaribu kuvaa viatu vya wanajeshi wa hiyo kambi ya jwtz na jeshi kwa ujumla na ninavyowafahamu hakika jamaa akimbie tena nje ya nchi aende Kongo huko baada ya miaka kumi arudi
 
Nimèjaribu kuvaa viatu vya wanajeshi wa hiyo kambi ya jwtz na jeshi kwa ujumla na ninavyowafahamu hakika jamaa akimbie tena nje ya nchi aende Kongo huko baada ya miaka kumi arudi
 
Hawa ndii wale wajeda wa shemeji njoo nikuchomeke kuna nafasi
Naangaliaga POLISI na Wajeshi wetu mpaka natingisa kichwa! Unakikuta kipolisi AFYA mgogoro eti nacho kinajifanya kiaskari, bure kabisa! Eti unakikuta kiaskari AFYA kama ya Polepole nacho kimepigwa magwanda, shit!! Siku hizi vigezo havifuatwi kabisa maana zamani bila futi 5.7 - 6.0 huendi jeshini! Sasa huyu JWTZ wa kupigwa roba ni mjeshi gani huyu? Hajafanya hata yake mazoezi ya kupiga Kara.te?
 
Back
Top Bottom