Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

Hii ni habari ya kusisimua aunajua mbakaji alitumia nguvu kubwa akijua anadeal na mjeda kumbe mjeda mwenyewe mayai.Hivi kama angefanikiwa halafu awe tu hai ingekuwaje?
 
Huyo ni mwanajeshi kweli au ni mtoto wa mwanajeshi au ndugu yake kamchomeka tu kiaina??Unanigwaje na mafunzo yote hayo??
Anyway RIP
 
So unafikiri hayo mateso hapo juu yana add chochote.... think properly..... infact kuna version nyingine ya story huyo mjeda alitaka kumdhulumu huyo fundi.....msiwe watu wa kurup....kurup
Ooh hayo ndio unaona MATESO lakini alivyomkaba na kumuua huyo dada hakusikia mateso hivi hujui kua tunaongelea roho iliyopotea hapa?
alitaka kumdhulumu ndio amuue?? alijuaje kama atadhulumiwa wakati bado hajadhulumiwa?

Hebu acha kutetea mauaji hujui yatamkuta nani katika familia yako

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Unajua kitu kinaitwa mahakama???....pls stretch your mind properly.....hakuna anayetetea wauaji lkn sheria lazima ifate mkondo wake hop u get my drift
 
Inasikitisha kwa mwanajeshi unauwa na fundi ujenzi ambae hana silaha.Halafu tunapeleka askari kusaidia nchi nyingine?Hii hatari sana tunatakiwa tuwape mafunzo na ukakamavu was kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua kabali? Ikikaa imekaa tena ya kuviziwa!! Halafu fundi wajenzi wana nguvu. Inawezekana kupigana akawa hajui lakini ana nguvu na kingine huyo mwanajeshi ni mwanamke.

Waulize wanaojifunza sanaa ya mapigano, utafunzwa jinsi ya kuitoa headlock lakini ukikabwa na mwenye nguvu zaidi yako unakwenda na maji kwa sababu koromelo la hewa linabanwa kupumua kunakuwa tabu na kabali inavunja shingo.

Isipokuwa kwa mwenye mazoezi anajua jinsi gani akikaba atakuzimisha tu. Vingenevyo kama mtu hajui anachokifanya anaua.
 
mwanajeshi hawezi kuuawa kizembe hivyo na mtu mmoja fundi matope.labda alikua mgonjwa
 
Huyo fundi ujenzi kajidai engineer ngoja aka "injinia samo hiyoo" vizuri sasa.

Ameshindwa kwenda kwenda kwenye virabu vya kimpumu akaokote limama uhuko
 
Unajua kitu kinaitwa mahakama???....pls stretch your mind properly.....hakuna anayetetea wauaji lkn sheria lazima ifate mkondo wake hop u get my drift
Yakikukuta ndio utajua kua mahakama si lolote si chochote mbele ya mpendwa wako.

Halafu maneno yangu hayakua sheria kua lazima wayafate ila kwa mimi binafsi inatokea mtu wangu wa karibu amebakwa nikamjua mbakaji/wabakaji basi hiyo ndio itakua adhabu yao same na ya wauaji.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Wakimkamata huyo mshenzi wala wasimpige,
Wamnyofoe hayo madubwasha yake, wamtoboe jicho moja na wamng'oe meno yote, halafu kwenye vidonda wamuweke chumvi, ndimu na pili pili, kisha wamtupe jela for the rest of his miserable life.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
We Dada ww na wale wajeda waliokuwa wanabaka wake zetu huku mitaan kila mliwafanyia haya? Ajali kazini afikishwe mahajamani.. ..tusijifanye mahakimu saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanajeshi anatakiwa kuwa ready at anytime...iwe ngumi, mieleka hata mapanga na visu, sijajua askari wetu Esta alimpa umenyo gani huyo fedhuli mpaka akamkaba......Lala kwa amani huyu tuachie, siku ya kiama atakusimulia jinsi alivyobadilika kuwa punga.....
 
We Dada ww na wale wajeda waliokuwa wanabaka wake zetu huku mitaan kila mliwafanyia haya? Ajali kazini afikishwe mahajamani.. ..tusijifanye mahakimu saana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walikua wanawabaka wake zenu kisha mkawaangalia basi mlipenda wenyewe lakini hiyo ndio adhabu ya mbakaji na muuaji wa makusudi.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Yakikukuta ndio utajua kua mahakama si lolote si chochote mbele ya mpendwa wako.

Halafu maneno yangu hayakua sheria kua lazima wayafate ila kwa mimi binafsi inatokea mtu wangu wa karibu amebakwa nikamjua mbakaji/wabakaji basi hiyo ndio itakua adhabu yao same na ya wauaji.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Naona hasira yako dhidi ya wabakaji iko juu mno....vepe ww ulishawahi bakwa labda!!?
 
Back
Top Bottom