Askari JWTZ Arusha amuua mfugaji kwa risasi

Serikali mbn kama inatka kushindwa katika swala la ulinzi na usalama
Inashindwa kivipi mkuu? Au ulitaka ianze kumfuatilia kila anachofanya kila sehemu atakapokuwa? Wangejua vipi maisha ya mtuhumiwa na mambo yake ya moyoni na ku predict kinachokuja kutokea?
 
Back
Top Bottom