Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,413
Uh! English! Si uandike kiswahili tu badala ya kujiaibisha?
Ukimsoma huyo jamaa utaacha utopolo wa kubeza watu humu.
One of his quote "Most of non native english speakers, speak poor english bad and unrecognized pronunciation " he continue
"They pretend they know and.....".
Jitafakari sana kuna watu wanajua na wametuandikia vitabu kuwagundua watu kama nyie mnaojifanya mnajua kumbe hamjui.
"Native english speaker doesn't care grammer and mistakes a non native english speaker makes". A J .HOGE
Utajua hujui.