Asiyekuwepo na lake halipo Samia kukwepa kumbukizi la Magufuli

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
1773933520211.png

Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka.

Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na lake halipo. Isitoshe, paka akiondoka, panya hujitawala.

Inasikitisha. Pia, ni aibu na unyama sina mfano. Binadamu ni nani hadi ajilishe pepo na kujisahaulisha utadhani ataishi milele?
 
event kuandaliwa ni hatua kubwa mkuu
 
View attachment 3560091
Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka.

Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na lake halipo. Isitoshe, paka akiondoka, panya hujitawala.

Inasikitisha. Pia, ni aibu na unyama sina mfano. Binadamu ni nani hadi ajilishe pepo na kujisahaulisha utadhani ataishi milele?
Hao wote wamekutana kwenye siasa, ni vipi Magufuli amemtengeneza Samia? Labda amemtengeneza kuteka na kupora chaguzi. Kwani ilikuwa lazima kila kiongozi aende kwenye hiyo hafla? Isitoshe kwa sasa wanachama wa ccm wameanza kuzomea misibani, ulitegemea Samia aende? Na kibaya zaidi hiyo shughuli ibada iliongozwa na RC ambao hawako na muuaji.
 
Back
Top Bottom