Asiyekujua hakuibii mke/mme

Asiyekujua hakuibii mke/mme

DAh! I hate those bitches wanaojidai frends hadi wanamuita mumeo bby na cmu hadi saa nane ucku..
Alafu anakuchekea..nyambaff
 
Hehehe unaongea kwa uzoefu? acha mumeo abebishwe bwana, uchoyo sio issue. Sasa unataka wenzio wakaponee wapi na jua hili la mjini
DAh! I hate those bitches wanaojidai frends hadi wanamuita mumeo bby na cmu hadi saa nane ucku..
Alafu anakuchekea..nyambaff
 
Malalamiko ya wanandoa kutokuwa waaminifu miongoni mwao yamekuwa mjadala wa sasa kiasi cha watu kuanza kushutumiana na wakati mwingine kuharibu mahusiano yao na hatimaye kuachanisha mahusiano ya kindoa.

Pamoja na hayo nataka mikuambie asiyekujua hakuchukulii mkeo au mmeo, mbaya wako ni yule inayemuita rafiki, mshkaji, msela au hata wale majirani unaowapa heshima za uncle, sister, brother aunt, mdogo wako na hata father ilhali sio uncle, sister, brother, aunt, wala father kiuhalisia. Hao ndio wabaya wako, wanasubiri uwape fursa tu wakinukishe, kama unabisha fuatilia wale wanaolalamika kuibiwa ujuwe wanaowaibia ni akina nani kama sio hao niliokuambia hapo juu.

Hata wale wenye wake wanaofanya kazi kwenye mafiosi ya serikali na makampuni bado hakuna cha boss wala manager anayeweza kukuibia mke ikiwa hajui mwanaume wake yupoje au ni mtu wa namna gani, watategemea mkeo awaambie jinsi anavyokuchukulia ndio wapime ikiwa mamboozs yanaweza kuwa mabaya mbeleni. Ni nadra sana kusikia mwanaume anatembea na mke wa mwanaume mwenzake huku akiwa hafahamu alivyo.

Usaliti ni tabia mbaya kama zilivyo tabia zingine, watu wanasalitiana pale a kuwepo kwa fursa, kwahiyo kuwa makini na watu unaoishi nao karibu.
"...Ndoa za siku hizi zina usumbufu kama nauli za sumatra"
 
wake za watu wengi wanaliwa sana na wapenzi wao wa mwanzo kabda ya kuolewa. yaani wakikutana wenyewe wanaitana ex ujue hapo wanaishia nyumba ya kulala wageni.
 
Sio lazima amjue hii mitandao ya kijamii watu wanapigiwa balaa na hawawafahamu
 
Kagari ama jimgari? nataka unikombolee ile ya wema iliyokwama bandarini. Hebu weka terms wazi ubebishwe hadi usahau jina la mzazi wako wa kike
King'asti nibebishe mwaya nikununulie kagari na vijizawadi
 
Sasa wewe unataka kubebishwa na mke wa mwenzio, si inabidi ujiongeze?
H yesterday anthea uwasalimie huko, umekosa kunywa maji ya uzima uwe kama ray
😵😵 duuuuuh! haya maji marefu ngoja nitoke zangu nduki
 
Sasa wewe unataka kubebishwa na mke wa mwenzio, si inabidi ujiongeze?
H yesterday anthea uwasalimie huko, umekosa kunywa maji ya uzima uwe kama ray
😀😀 njoo chukua funguo ya i.s.t mwaya, nimekunywa lita 2000 but no changes kumbe maji yenyewe yanapatikana kwako?
 
Baby walker sienei. Mambo ya kuendesha gari umechuchumaa siwezi baba. Hiyo mtumie mzazi wako kijijini aendee sokoni.

Uwe na simtank la 5000 lts na mrija ndo utatufikia weupe
😀😀 njoo chukua funguo ya i.s.t mwaya, nimekunywa lita 2000 but no changes kumbe maji yenyewe yanapatikana kwako?
 
Back
Top Bottom