TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,330
- 8,421
Habari wana JF.
Nimekua mfatiliaji mkubwa wa social Midea nimegundua watanzania wengi mawazo na akili zao zimetekwa na mitandao ya kijamii kuliko kufanya mambo ya msingi ya kimaendeleo.
Nimechunguza na nikagundua wachache sana ambao wapo inspire na watu sahihi, wengi wao wanafatilia watu ambao mwenendo wa maisha drama zao hazifai kuigwa wala kupewa support utakutana na kundi kubwa na kina dada pamoja na vijana wanatumia muda wao mwingi kufatilia post za watu ambao wameshindwa kujitengezea maisha yao.
Utakutana na team zao Team Wema, Team Joket, Team Zari, Team Kiba, Team Diamond nk. Ukichunguza sana wanapoteza muda wao bila sababu kwasababu hata hao wanaowapa sapport wala hawana time nao.
Mtu kama Wema Sepetu wenyewe wanamuita Sepenga hata kibanda cha jiko hana eti pia ana-team hafai kuwa real mode anawapotosha tu.
Watanzania tubadilike tuache ushamba tufanye kazi kwa bidii kwa jasho smartphone isiwe chanzo cha kutufanya tushindwe kusonga mbele.
Leo upo bize kumfatilia Diamond hivi unajua mangapi amepitia hadi kuwa pale?
Amepitia mengi ame-haso sana hadi ametoboa wewe pia muda huu achana na kufatilia skendo zake fanya kazi kwa bidii uagane na umasikini.