Asilimia kubwa ya watanzania tunafeli sababu akili zimetekwa na mitandao ya kijamii

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,417
Habari wana JF.

Nimekua mfatiliaji mkubwa wa social Midea nimegundua watanzania wengi mawazo na akili zao zimetekwa na mitandao ya kijamii kuliko kufanya mambo ya msingi ya kimaendeleo.

Nimechunguza na nikagundua wachache sana ambao wapo inspire na watu sahihi, wengi wao wanafatilia watu ambao mwenendo wa maisha drama zao hazifai kuigwa wala kupewa support utakutana na kundi kubwa na kina dada pamoja na vijana wanatumia muda wao mwingi kufatilia post za watu ambao wameshindwa kujitengezea maisha yao.

Utakutana na team zao Team Wema, Team Joket, Team Zari, Team Kiba, Team Diamond nk. Ukichunguza sana wanapoteza muda wao bila sababu kwasababu hata hao wanaowapa sapport wala hawana time nao.

Mtu kama Wema Sepetu wenyewe wanamuita Sepenga hata kibanda cha jiko hana eti pia ana-team hafai kuwa real mode anawapotosha tu.

Watanzania tubadilike tuache ushamba tufanye kazi kwa bidii kwa jasho smartphone isiwe chanzo cha kutufanya tushindwe kusonga mbele.

Leo upo bize kumfatilia Diamond hivi unajua mangapi amepitia hadi kuwa pale?

Amepitia mengi ame-haso sana hadi ametoboa wewe pia muda huu achana na kufatilia skendo zake fanya kazi kwa bidii uagane na umasikini.
 
Wewe mpaka leo umefanya nini?

Ulichokisema hapa ni ukweli ila bahata mbaya mimi sisikilizi watu kama ninyi

Mnaongea sana mnajikuta wajuaji kumbe hovyoooo tu
 
Mkuu kuna team da mange, hawa ndio wengi na ni mazumbukuku balaa, yaani ni wajinga na wapumbavu hujapata kuona.
 
TEAM B-13
Umeandika vizuri ila umeharibu tu hapo ulipoponda kumfuatilua mond... Nahisi bado hata huyo mond hujamfahamu vizuri...hebu fuatilia hata kidogo ziara yake ya majuzi tu Nairobi halafu ujishangae...na usimfananishe na vitu vingine kabisa
Mfano huwa haukosolewi kwani sio halisi. Hoja, ni kwa namna gani mtu ananufaika kuwa timu fulani. Hebu elezea faida ambazo mtu aweza kupata kwa kuwa Team Diamond au team shish nk. mimi naona mtoa hoja ana maoni mema sana.
 
Mimi ni mmoja wa watu wanaochukizwa Na matumizi mabaya ya mtandao hata lile la kufungwa mitandao ya kijamii ningefurahi sana mana hawa wanajiita team nn mara siasa nn wanashindwa hata kutuelezea n jinsi gani ukijituma kufanya kazi utafanikiwa
 
inahuzunisha kuona ndugu au rafiki yako anazingua kwenye life kwasababu ya sosho netweki, lakin mwisho wa siku kama u smart utakomaa wewe kama wewe utoboe
kwaiyo mkuu, team b-13 wewe tu komaa na wewe utakuwa na team yako
 
Mtoa Mada uko sahihi Sana japo uwasilishaji ndo haujakutana na jinsi kila mtu anataka,verry constructive status ila kwakua Watz bado ni wageni na medialife hatuwezi hata isoma post yako hadi tamati Wala kukufuatilia tu kwa mwendelezo
 
Habari wana JF.

Nimekua mfatiliaji mkubwa wa social Midea nimegundua watanzania wengi mawazo na akili zao zimetekwa na mitandao ya kijamii kuliko kufanya mambo ya msingi ya kimaendeleo.

Nimechunguza na nikagundua wachache sana ambao wapo inspire na watu sahihi, wengi wao wanafatilia watu ambao mwenendo wa maisha drama zao hazifai kuigwa wala kupewa support utakutana na kundi kubwa na kina dada pamoja na vijana wanatumia muda wao mwingi kufatilia post za watu ambao wameshindwa kujitengezea maisha yao.

Utakutana na team zao Team Wema, Team Joket, Team Zari, Team Kiba, Team Diamond nk. Ukichunguza sana wanapoteza muda wao bila sababu kwasababu hata hao wanaowapa sapport wala hawana time nao.

Mtu kama Wema Sepetu wenyewe wanamuita Sepenga hata kibanda cha jiko hana eti pia ana-team hafai kuwa real mode anawapotosha tu.

Watanzania tubadilike tuache ushamba tufanye kazi kwa bidii kwa jasho smartphone isiwe chanzo cha kutufanya tushindwe kusonga mbele.

Leo upo bize kumfatilia Diamond hivi unajua mangapi amepitia hadi kuwa pale?

Amepitia mengi ame-haso sana hadi ametoboa wewe pia muda huu achana na kufatilia skendo zake fanya kazi kwa bidii uagane na umasikini.
wakati uo uo inatla tarifsa kupitia mitandao
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom