Asilimia kubwa ya askari si wapenzi wa CCM

hii habari ni kweli.na anaye pinga akapimwe akili.nakumbuka uchaguzi uloisha kituo mojawapo pale kwa wanajeshi rugalo jimbo la kawe kikwete alipata kura nne.yaani alifunikwa na slaa.mwisho wa siku halima mdee akakinukisha jimbo zima likaenda chadema.mia
Hujanitendea haki Figganigga. Katika post hii niliyepinga ni mimi tu, na haimaanishi kwamba sina akili. Niemeongea kwa mifano hai, na si kwa hisia kama wewe unavyofanya. Vituo vya kupigia kura vya karibu na kambi za jeshi si lazima wapiga wake wawe ni wanajeshi.

Wanaweza kuwa ni wananchi wa karibu na kambi za jeshi wanaochukia manyanyaso ya wanajeshi na hatimaye kuichukia CCM. Niliyoeleza hapa ni yale ambayo nimeyatokea live, sasa wewe unaposema nikapimwe akili unamaanisha nini ili hali si wewe uliyeongea nao na kujua mitizamo yao?
 
hii habari ni kweli.na anaye pinga akapimwe akili.nakumbuka uchaguzi uloisha kituo mojawapo pale kwa wanajeshi rugalo jimbo la kawe kikwete alipata kura nne.yaani alifunikwa na slaa.mwisho wa siku halima mdee akakinukisha jimbo zima likaenda chadema.mia

Mnasahau kuwa bila Polisi Wenje wa Mwanza asingeshinda? jamaa hao walipiga chapuo ya chinichini kinoma... jaribuni kukaa na nduguyo au rafiki wa karibu atakueleza ni jinsi gani hawapendi serikali inavyoongozwa kihunihuni na hiii ipo hata kwa wanene wao
 
Tusilishane matango pori hapa, ukisema kuwa wajeda wanaichukia ccm hapo Tz nadhani huo ni mtazamo na kwa data chache ambazo hazijaleta uzito na kufanya conclusion kuwa wajenda hawaipendi ccm.

Tukianza kusema majimbo au kata ambozo wanaishi wajeda utaona most of these areas are under chadema siyo sahii kwani areas like Kagera-kaboya,nshambya and veta rwami ziko chini ya ccm.

Kama kweli hapo Tanzania the militia is agaist ccm tusingeyaona haya

1.kuwapiga wanavyuo nakuwabuluza wakati wa migomo kwani wanafunzi wanakuwa wanapinga sera mbaya, wizi, ufisadi na kudai haki zao.

2.Wajeda wasingekuwa mstari wa mbele kuzuia maandamano ya other political parties

3.Wasingediriki kupiga watu na kuua mfano Zanzibar 2000, Arusha 2010 na Nyamongo tarime

4.Wangekua tayari kukosoa pale chama au serikali inapofanya manyanga eg radar, richmond etc

5.Wangekuwa mstari wambele kudai mabadiriko mfano kugoma, kuiangusha serika etc

Then swala la kusema kuwa hawaipendi ccm nadhani ni binafsi zaidi kuliko taasisi kama taasisi.
Wanajanvi tukianza kuwa wavivu hivyo na kutaka kuomba msaada from the militia tutakua tunaandaa kaburi la kumzika demokrasia kwakuleta military regimes than civilian state led.

WAJEDA MTAJI WAO KWA MABADILIKO NI MDOGO SAANA.
 
Hujanitendea haki Figganigga. Katika post hii niliyepinga ni mimi tu, na haimaanishi kwamba sina akili. Niemeongea kwa mifano hai, na si kwa hisia kama wewe unavyofanya. Vituo vya kupigia kura vya karibu na kambi za jeshi si lazima wapiga wake wawe ni wanajeshi. Wanaweza kuwa ni wananchi wa karibu na kambi za jeshi wanaochukia manyanyaso ya wanajeshi na hatimaye kuichukia CCM. Niliyoeleza hapa ni yale ambayo nimeyatokea live, sasa wewe unaposema nikapimwe akili unamaanisha nini ili hali si wewe uliyeongea nao na kujua mitizamo yao?

Lukolo,msamehe mkuu najua nyote tupo safari moja kwa hyo msilumbane tafadhali ila tuendelee kuikomboa nchi toka kwa hawa Wezi
 
Hii ni taarifa mpya na nzuri.Ila sasa wasiishie kuongea tu.Hawa wakiamua wanaweza kutusaidia sana.
Inawezekana usiamini, lakini huu ndo ukweli. Askari wengi wa vyeo vya chini na vya kati wa majeshi yote(JWTZ,POLICE NA MAGEREZA) hawana kabisa imani na CCM. Unaweza ukaniuliza utafiti huo nimeufanya lini na wapi na kwa sample ipi! Kifupi ni kwamba, mzee wangu mimi ni afisa mstaafu wa jeshi. Nina ndugu zangu wengi sana wapo ktk majeshi. Kila jion tumekuwa tukienda ktk bwalo kubadilishana mawazo. Mara nyingi mada za siasa huibuka na hapo ndo utagundua wengi wameichoka CCM. Wapo wanaosema walikuwa na imani na Jk(si CCM) kwa kuwa alikuwa askari labda angewaboreshea maslaha yao, ila amewaangusha. KAMA HUAMINI, JARIBU KUFANYA UTAFITI JAPO MDOGO KWA SAMPO YOYOTE UNAYOITAKA, JIBU UTAPATA.
 
kama unataka kujua askari ambavo hawaipendi ccm mumuulize masha alivyopigwa mabatini na butimba magereza jibu kamali utalipata.
 
Inawezekana usiamini, lakini huu ndo ukweli. Askari wengi wa vyeo vya chini na vya kati wa majeshi yote(JWTZ,POLICE NA MAGEREZA) hawana kabisa imani na CCM. Unaweza ukaniuliza utafiti huo nimeufanya lini na wapi na kwa sample ipi! Kifupi ni kwamba, mzee wangu mimi ni afisa mstaafu wa jeshi. Nina ndugu zangu wengi sana wapo ktk majeshi. Kila jion tumekuwa tukienda ktk bwalo kubadilishana mawazo. Mara nyingi mada za siasa huibuka na hapo ndo utagundua wengi wameichoka CCM. Wapo wanaosema walikuwa na imani na Jk(si CCM) kwa kuwa alikuwa askari labda angewaboreshea maslaha yao, ila amewaangusha. KAMA HUAMINI, JARIBU KUFANYA UTAFITI JAPO MDOGO KWA SAMPO YOYOTE UNAYOITAKA, JIBU UTAPATA.

unawachomea laivu
 
Nimewai kupita maeneo ya Central Police hapa Dodoma baada tu ya matokeo ya uchaguzi,na kukawa na tishio la wabunge wa CDM kutoka bungeni wakati wa hotuba ya raisi...wakati wa siku ile ya hotuba ya raisi na wabunge wa CDM kutoka nje nikamsikia askari mmoja wa makamu kidogo akiwauliza wenzake

“Aisee wapiganaji wametoka leo....?" Jamaa yake akamjibu wametoka,yule aliyeuliza swali akasema "safi".........Hii ilinionyesha kuwa kweli kuna askari wamechoka...
 
Kwenye gari yangu nikiweka alama ya chadema hawanisimamishi hovyo hovyo na kimsingi wananipaga big up!
 
Kwani wenyewe sio wananchi,hivi kupanda kwa gharama za maisha hakuwahusu eeh,hivi wao hawana watoto waliokosa mkopo wa heslb,hivi wao hawachukizwi na wizi wa wazi wazi wa rasilimali za taifa..hapa suala ni nchi kwanza..
 
Mimi nimepata mara kadhaa kukutana na majaji na hasa walio staafu na wachache wako kazini wana amini Nchi iko rehani na hawataki kabisa kusikia maneno ya JK na CCM .

CCM na JK yaani serikali huwa inaingilia baadhi ya vyesi mahakamani lakini wenye msimamo huwa wanakataa wanatenda haki hapo ndipo huondolewa .
 
Na hata ukijaribu kupiga simu za baadhi ya askari wa chini zinatoa ring tone za chadema
 
Hii ni kweli, kuna jamaa yangu yupo Monduli. Haipendi ccm. Anasema wanayoyafanya si kwamba wanayapenda. Wanajesh ni ngome imara ya upinzani siku ikifika.
 
Tusilishane matango pori hapa,ukisema kuwa wajeda wanaichukia ccm hapo Tz nadhani huo ni mtazamo na kwa data chache ambazo hazijaleta uzito na kufanya conclusion kuwa wajenda hawaipendi ccm.

Tukianza kusema majimbo au kata ambozo wanaishi wajeda utaona most of these areas are under chadema siyo sahii kwani areas like Kagera-kaboya,nshambya and veta rwami ziko chini ya ccm.

Kama kweli hapo Tanzania the militia is agaist ccm tusingeyaona haya
1.kuwapiga wanavyuo nakuwabuluza wakati wa migomo kwani wanafunzi wanakuwa wanapinga sera mbaya,wizi,ufisadi na kudai haki zao.
2.Wajeda wasingekuwa mstari wa mbele kuzuia maandamano ya other political parties
3.Wasingediriki kupiga watu na kuua mfano Zanzibar 2000,Arusha 2010 na Nyamongo tarime
4.Wangekua tayari kukosoa pale chama au serikali inapofanya manyanga eg radar,richmond etc
5.Wangekuwa mstari wambele kudai mabadiriko mfano kugoma,kuiangusha serika etc
Then swala la kusema kuwa hawaipendi ccm nadhani ni binafsi zaidi kuliko taasisi kama taasisi.
Wanajanvi tukianza kuwa wavivu hivyo na kutaka kuomba msaada from the militia tutakua tunaandaa kaburi la kumzika demokrasia kwakuleta military regimes than civilian state led.WAJEDA MTAJI WAO KWA MABADILIKO NI MDOGO SAANA.
Sasa naona madhara ya vijana kutokwenda JKT. Lau kama wange hudhuria mafunzo ya kijeshi wangejua namna jeshi na wanajeshi wanavyo fanya kazi na hivvo maswali na maoni kama haya yasingetolewa. Poleni sana vijana.

Kwa taarifa yenu amri ikishatolewa jeshini huwa haijadiliwi ila niutekelezaji tu hata kama mtekelezaji hapendi. Kinyume chake ni matatizo makubwa kwa aliyesita au kukataa kutekeleza amri hiyo.

Ukweli ni kwamba askari kama walivyo watanzania wengine wapo wasioridhika na CCM na wako ambao wanaamini CCM ni baba na mama yao. Mbona tumeshuhudia wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wafuasi na wakereketwa wakubwa wa CCM.

Nawegine tumeona michango yao ya hovyo humu jamvini wakiitetea CCM bila hata hoja za msingi. Kwa hiyo hatuna sababu ya kuwalaumu inategemea tabaka walilomo na manufaa wanayoyapata.
 
ila wapo ambao wapowapo tu ndani ya CCM. Cheki orodha
  1. watoto wa vigogo ambao baba zao ndo wenye penyewe
  2. viongozi ambao Wana njaa na ndoto za alinacha kwamba meibi.. huenda wakawa SOMEBODY baadae kama vile NAPE, MWIGULU.. ambao wanaotaota kukwaa viti virefu baadae lakini wanafanya madudu leo.. hawamvui mwanamke hijabu tu bali pia huondoa hata nguo ya ndani na wakamuoa kabisaa mke wa ustaadhi.. hii ni kali zaidi.
  3. wafanyabiashara mamluki ambao kazi zao huongozwa kwa Rushwa magendo n.k hawa ndio wale wanaojitapa kwamba wao ndio wanaowaweka polisi mjini.. bila wao viuno vyao haviwezi kuzidi cm 18.
  4. wenye makampuni ambao tenda zao hupitishwa kwa kutoa vitu vikubwa kwa viongozi serikalini.
  5. MAKAFIRI.. wasiojua Ukristo ni nini au uislam ni nini.. wao wako tayari kutoa matamko na kuwalazimisha waumini wao wafuate matakwa yao ya Kisiasa.. Hii ni zaidi ya Ufisadi.. Uislam ni matendo, na Ukristo ni matendo mema.. sasa haya matamko ni ulevi wa MAKAFIRI wasio na dini yoyote, si waislam wala wakristo.. ni MAKAFIRI
  6. VIHEREHERE.. hawa ni wabaya kama kupe.. wanashabikia sana Chama, wanavaa mavazi ya chama husika, lakini nia na mapenzi yao yako mbali.. embu ona.. KESHO WALE WOTE WALIOVAA KIJANI WATAKIPIGIA KURA CHADEMA.. we utaona.. ndo hao waanzilishi wa kile kimsemo KULA ni ccm, ila KURA ni chadema
 
uwezekano upo kuwa hawaipendi CCM lakini shida ni kwenye kauli za amri
 
Hujanitendea haki Figganigga. Katika post hii niliyepinga ni mimi tu, na haimaanishi kwamba sina akili. Niemeongea kwa mifano hai, na si kwa hisia kama wewe unavyofanya. Vituo vya kupigia kura vya karibu na kambi za jeshi si lazima wapiga wake wawe ni wanajeshi. Wanaweza kuwa ni wananchi wa karibu na kambi za jeshi wanaochukia manyanyaso ya wanajeshi na hatimaye kuichukia CCM. Niliyoeleza hapa ni yale ambayo nimeyatokea live,

samahani ndugu yangu.hata wewe umeongea point.mia
 
Uchaguzi wa ubunge iringa mjini ndio waliokuwa wakiwahamasisha wananchi wachague cdm. Hata kura za kituo cha jeshi ccm walipata kura chache sana kwa ubunge na urais. magamba wanalijua hilo ila wanaogopa kulisemea kwni litaongeza tu hamasa dhidi ya magamba
 
yani upinzani wana kura nyingi saana jeshini..., its just a matter of tym..., hii ni ticking bomb, frustration zikiendelea litalipuka 2 cku moja

Afu c kwamba wanajeshi ni mbumbumbu.., tatizo ni amri, kisheria za jeshi, ukigomea amri ni mahakama, na ushahd ukiwa agaisnt ni kifungo, kushushwa cheo au kufukuzwa
 
kama unataka kujua askari ambavo hawaipendi ccm mumuulize masha alivyopigwa mabatini na butimba magereza jibu kamali utalipata.

Kijana unaonekana unatokea Rock city
Sur wajeda wa Mwz wali2saidia sn Masha acchakachue jembe le2 Wenje
Hasa mkuu yule daaah!Nlimpa 100 percent mzee
 
Back
Top Bottom