Sio mabanda ya njiwa tu na hilo ulilolisema ni la kweli si wanapata bia za bukubuku tu,ukichanganya na umbumbu,sifa na hayo maduka ya duty free, basi wanaona wameyapatia maisha.na vile wakiua kwa risasi wanatetewa,wakipora mali za watu nako wanatetewa, wana tumia crown kujipatia pesa isivyo halali na asilimia kubwa bado wana imani kabisa bila ccm nchi haiendi na huenda wakakosa kazi,lakini cha ajabu hata sasa wajeda kazi zao ni za contract ya six years kisha una renew, sio kama teacher akianza ni mpaka aharibu mwenyewe.
Kiukweli hao si wakuwategemea sana japo wapo ambao wanalia na CCM magamba na wengine hawawezi kabisa kuzuia hisia zao, tulikuwa tunakaa nao kipindi cha bunge kabla hali ahirishwa, walipokuwa wakisimama wapiganaji wa ukweli kutoka CDM hata wao morale ulikuwa unawapanda.
ila tushikamane tu, tutapambana nao na iko siku tutashinda tu