Naona umeamua kunisilimisha, kumbe kuna mashehe humu ndanini hako kwa sababu wewe ni muislam
Naona umeamua kunisilimisha, kumbe kuna mashehe humu ndanini hako kwa sababu wewe ni muislam
Umesikia JF ni yenu nyie tu? muuza baa anahishima zake kijana kwanini unamdharau?sasa kama wewe CCM umefuata nini humu..usiwe unaongea kama muuza bar unaropoka ropoka tu bila facts...mliambiwa msome mkakimbilia madrasa sasa hayo ndo madhara yake ...ovyoooo
Wewe unavyo hivyo vyote? Yaani kichwa na miguu? Maana hapa ni wazi inaonekana kichwa hamna maana hiki ulichoandika hapa tunajua kuwa kinatoka tumboni kuingia ktk uchafu.
Na wewe ni mwanachadema?labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.
na wewe kama huna la maana tulia...cio lazima uandikeMtu unakaa ukiota ndoto za mchana unakuja na utumbo kama huu...tafuta mambo ya maana na kama huna tulia.Tanzania ni nchi kubwa na sample yako haina kichwa wala miguu.
hii ndio faida ya kusoma page ya mwisho, ungeanzia mwanzo usingeuliza swali la kipuuzi namna hii.Na wewe ni mwanachadema?
Sema asilimia 85 ya chadema.
hii ndio faida ya kusoma page ya mwisho, ungeanzia mwanzo usingeuliza swali la kipuuzi namna hii.
85% ni kidogo sana,i hope more than 95% hawapendi serikali ya JK
Upo sahihi kabisa Foxy, hizi ni asilimia za CHADEMA, maana hao ndo wenye uchungu na nchi. Wewe utatoa wapi huruma kwa wananchi zaidi ya 80% wanaoishi maisha magumu na ya shida, ilihali unalishwa tu na mafisadi? Na unajua anayekulisha akiondoka kwenye system na wewe unapoteza? Ni haki yako utetee huu upumbavu, lakini siku zenu zinahesabika, hatuwezi sisi tukafanya kazi ya kuwachangia ninyi ili mneemeke na familia zenu wakati sisi tunaumia. Anzeni kucount down siku zenu za kuneemeka na uongozi huu wa kifisadi.
Kama uchaguzi ungefanyika leo Tanzania, asilimia 85% ya watanzania wanasema kuwa hawaitaki serikali iliyopo madarakani. Ufumbuzi huu umetokana na mini survey niliyofanya kwa kutumia data (maoni) kutoka kwa JF members (kuanzia 2010 baada ya uchaguzi mpaka leo).
Sampling na survey design:
Hii ni qualitative descriptive analysis iliyohusisha random sample iliyochaguliwa toka JF population (which is currently =38,368). Swali lililoangaliwa ni mtizamo wa maoni (opinions), yaani: pro au against the government. Control ya comfounding factors kama udini na ukabila pia imefanyika ili kuondoa bias katika final results. Survey imehusisha idadi ya watu 3518 (sample size) ambayo imechaguliwa toka kwa population ya 38,368 JF members (current JF members). Sample hii imetokana na Confidence level = 99% at 3% error level. Data analysis imefanyika kwa kutumia current SPSS statistical software (for frequency statistics).
Matokeo:
Asilimia 85% (2990) ya respondents wamesema hawaitaki serikali ya JK
10% (352) wamesema bado wanaitaka serikali ya JK
5% (176) wamekuwa neutral (hawakuonyesha wako upande gani kwa opinion zao)
My take (conclusion):
Kwa wale wanaofanya social studies (kama kina Prof.Mukandara et al), we need these kinds of surveys more frequently to give a wakeup call to our lazy and corrupt leaders.
Kuna wale watakao argue kuwa study hii sio representative of the countrywide opinions (kwa maana ya sample size ndogo), lakini wajue kuwa JF members wanawakilisha maoni ya watu from all parts of the country (and abroad).
Kuhusu credibility yangu katika kufanya hili, be informed kwamba Nderi wa ngosha is a big time researcher. Nawasilisha.
labda wapiga kura wa misikitini ndio wanaoitaka ccm
Hao wanachama wa JF ni asilimia ngapi ya watanzania?
Hao wasiomtaka JK wanamtaka nani? (Pinda, Lipumba, Slaa?)
Ka Sample kako kapo biased sana maana umeangalia watu wanaojua kusoma na kuandika sio tu kusoma na kuandika bali kutumia computer, sio kutumia computer tu bali access ya Internet ambao wote karibu wapo mjini.
Umejitahidi lakini bado...
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.
mimi niko CCM
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.
Haka kamsomi kamenichosha pale kanapofanya sampling kwa confidence level 99 halafu kanachukua level of significance (error -
α) 3% sijui error pia ina error au test yake ni 102%