Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

Hivi swala la mkopo kwa wanafunzi ni dharura! Seriklai haikujua kwamba vyuo vinafunguliwa mwezi huu?
Au ndy business as usual? Anyway!!! tuvumiliane kwakua tunatawaliwa kwa mazoea tumezoea kuishi kwa mazoea na tunafanya choices zetu kwa mazoea,tunakufa kwa mazoea!!!!
#hapa kazi tu#
 
Hivi swala la mkopo kwa wanafunzi ni dharura! Seriklai haikujua kwamba vyuo vinafunguliwa mwezi huu?
Au ndy business as usual? Anyway!!! tuvumiliane kwakua tunatawaliwa kwa mazoea tumezoea kuishi kwa mazoea na tunafanya choices zetu kwa mazoea,tunakufa kwa mazoea!!!!
#hapa kazi tu#
 
Hela za mikopo walilipwa wakina wema sepetu kipindi cha kampeni na show za ccmfiesta jitahidini kulipa kodi serikali haina kitu
Ccm ni ileile ooh..ni ile ileee
 
Eddo alisema mtasoma bure mkamkata...tulieni dawa iwaingie
 
Ccm ina wenyewe mliishabia na mlikuwa mnalipwa elfu kumi mshambulie ukawa sasa kukiona ccm mtaisoma namba hapa kazi tuu
 
wakuu vp kwa wale special diploma udom mwaka wa kwanza?
 
mnapenda kulipiwa,hapa kazi tu.fanyakazi upate pesa ukalipe ooo mbele kwa mbele mtaisoma namba ....
 
#HapaKaziTu ,*****!!,mlivyokua mnakata viuno majukwaani mlizani mna hisa ikulu?Na bado,mlipewa fursa ya kusoma bure mkakaidi,ngoja mpigwe.Ushauri wa bure:Nendeni makao makuu ya Fisiemu au mawakala wao necccm mkawalilie huenda mkasaidiwa.Mmetumiwa kama ile mipira sasa thamani yenu imekwisha.Mtafirika sana hapa UKAWA CITY.
 
lina uhusiano gani na rais mpya ,kama kuna tatizo la mikopo halimhusu limetokea kabla coz hata sasa tunavyo ongea hajaapishwa bado.Kukosa mikopo halina connection na HAPA KAZI TU
 
JINSI YA KUISOMA NAMBA:
Chukua 10,000/- Tshs.
-Nunua umeme wa 5000/-( maana Leo ni zamu
ya chumba chenu kununua umeme)
- Nunua maharage
- Nunua mkaa
- Nunua Nazi
- Nunua kitunguu na pilipili hoho
- Nunua Unga (sembe au dona)
Ile chenji inayobaki ndo namba unayotakiwa
kuisoma sasa.
Maana usijekuwa unaimba tu wacha waisome
namba eeeeeh!!!!!! Kumbe hujui namba jinsi ya kuisoma!!
😂😂😂😂

Waliambiwa wamchague mzee wakajidai vichwa ngum!!! Hasa huyo wa tabora huyo ndio anatakiwa aisome namba kwel kwel maana wao ndio waliongoza kumpigia makufuli!!!

Mwaka huu kila mtu atabeba zigo lake!! Ccm ni ile ile!!
 
Last edited by a moderator:
Tunaisoma namba wote..mlikataa elimu bure hadi chuo kikuu sasa hapa kazi tuu
 
Watu tuliambiwa tupewe elimu bure ya chuo kikuu tukaikataa sasa hiki ni kisasi cha bodi ya mikopo kutuonyesha kuwa ni wajinga kiasi gani wasiopenda vya bure wacha tuwanyime mikopo wanaonekana hela wanazo...tulisisitiza sana humu kuchagua mabadiliko watu walituona kama wapumbavu sasa ndo matokeo yake hayo mi mtu aliyechagua ccm af aje alalamikie serikali kukosa mkopo naweza nkampiga hata kibao
 
Dah!! Inasikitisha sana.

Jamari serikali ndio kusema mmefirisika au? Naanza kuhisi deni la taifa kupanda mara mbili ya lilipo sasa kwa miaka 5 tu. Mbaya zaidi hizi nyimbo zenu ccm zilikua zinatia kinyaa ona sasa hivi tuliokua tukiziimba kwa kukatika viuno hatuwezi tena kuziimba hali tete tulizani tunawaimbia wapinzani kumbe wapinzani ni watanzania pia na sisi ni watanzania pia hivyo tunaisoma namba sote mmh
 
Hapo kumaliza kila kitu ni maandamano hadi lumumba ili ulimwengu ujue walikataa kusomeshwa bure sasa wanalalamika nini? sisiem tumeipenda milele..milele hapa mbele kwa mbele.
 
#HapaKaziTu ,*****!!,mlivyokua mnakata viuno majukwaani mlizani mna hisa ikulu?Na bado,mlipewa fursa ya kusoma bure mkakaidi,ngoja mpigwe.Ushauri wa bure:Nendeni makao makuu ya Fisiemu au mawakala wao necccm mkawalilie huenda mkasaidiwa.Mmetumiwa kama ile mipira sasa thamani yenu imekwisha.Mtafirika sana hapa UKAWA CITY.

hahahahahhh
 
Nasoma kwenye chuo kimoja hapa dsm,nalikumbuka sana neno your not secured loan.lakini kwa juhudi zangu binafsi leo naingia mwaka wa tatu na naamini ntamaliza salama kwa nguvu za mwenyezi mungu aliye juu.
NB '
Kuna kitu moyoni mwangu kimejengeka na sasa kimekomaa nawajua maadui zangu na niliwachinja kwenye uchaguzi huu lakini nikaja kugundua wenye matatizo makubwa zaidi yangu ndio wanao walinda na kuwasujudia watesi wangu kwa kujua au kuto kujua
Matabaka yapo na yatazidi kuwepo akili kumkichwa.
#Mikopo serema
#Hapa kazi tu
Mvimbe mpasuke
Kwa anayetaka kujua nasomaje wakati baba yangu ni mstaafu na mama yangu ni mkulima na mfugaji aniulize ntamjibu vizuri tu
Na wenye mihemko ya kisiasa za majitaka wanisamehe
Nawasilisha.
 
elimu elimu elimu elimu elimu elimu.

chama chenye Sera hii kilifikilia mbali sana

walisema elimu bure mpaka chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom