DulleShaibu
Member
- Jun 5, 2015
- 98
- 14
Inauma sana mi mwenyewe dogo karipoti jana UDSM mkopo kakosa anasubiri hiyo awamu nyingne kama atapata otherwise watarudi tu kusubir mwakani
ndo maana hawakutoa majina ya mkopo kabla ya uchaguz ccm hoyeeee
Kwan kwenye profile yako wamekuandikiaje?
you have not secured a loan for this 1st lot
Lakin ww siulichaguliwa education priority au
yap ni education arts priority
kwaiyo utasubiri LOT 3 ndio uende
kwani lot 2 inawahusu kina nani
i meant LOT 2