Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

Hongera sana mkuu... Mkopo serema# hapa kazi tu... Itabid madogo wavimbe wapasuje maana hela zote tumelipa wasanii kwny kampen
 
Nasoma kwenye chuo kimoja hapa dsm,nalikumbuka sana neno your not secured loan.lakini kwa juhudi zangu binafsi leo naingia mwaka wa tatu na naamini ntamaliza salama kwa nguvu za mwenyezi mungu aliye juu.
NB '
Kuna kitu moyoni mwangu kimejengeka na sasa kimekomaa nawajua maadui zangu na niliwachinja kwenye uchaguzi huu lakini nikaja kugundua wenye matatizo makubwa zaidi yangu ndio wanao walinda na kuwasujudia watesi wangu kwa kujua au kuto kujua
Matabaka yapo na yatazidi kuwepo akili kumkichwa.
#Mikopo serema
#Hapa kazi tu
Mvimbe mpasuke
Kwa anayetaka kujua nasomaje wakati baba yangu ni mstaafu na mama yangu ni mkulima na mfugaji aniulize ntamjibu vizuri tu
Na wenye mihemko ya kisiasa za majitaka wanisamehe
Nawasilisha.

ni vema ukatusaidia mbinu zako
 
Ccm ni ile ile wataisoma namba sijui ni shufwa au tasa warudi makwao Chuo kikuu watakiona kwenye mitandao tu.

Kwa kweli sasa ndio tutajua nani ni lofa na nani mpumbavu,,ilikua wazi mikopo hamna baada ya kupata kura za wapumbavu wameamua kuwachinjia baharini.
 
Kwa kweli sasa ndio tutajua nani ni lofa na nani mpumbavu,,ilikua wazi mikopo hamna baada ya kupata kura za wapumbavu wameamua kuwachinjia baharini.

Na wataisoma namba mana kura wameshapata kura na pesa zimeishia kwenye uchaguzi
 
Kwa kweli sasa ndio tutajua nani ni lofa na nani mpumbavu,,ilikua wazi mikopo hamna baada ya kupata kura za wapumbavu wameamua kuwachinjia baharini.

Kuna kipindi JK aliwaambia waalimu, hata wasipompa kura zao anazo nyingine nyingi na bado waalimu hao walimpa ije kuwa hawa?

Siku hizi sijui 'boom' nalo ni kiasi gani, wakikatwa na huko ndipo watakapoisoma namba vizuri na kutambua CCM ni ile ile.
 
HAYA TUSAIDIANE HAPA:
wanafunzi walioomba mkopo HESLB = 70,000
garama ya maombi= 50,000/= kila mwanafunzi
kiasi kilichoingizwa na HESLB = 70,000*50,000/= =3,500,000,000
SASA BASI,
tumeambiwa waliofanikiwa kupata mkopo ni 12,000(kumbuka sio wote wamepatiwa 100%)
tukichukua wastani wa 3,000,000/= kwa kila mwanafunzi kwa mwaka,then 12,000*3,000,000/= utapata 36,000,000,000
tukichuku kilichokusanywa na HESLB ambacho ni 3,500,000,000/= tukigawa kwa 36,000,000,000/= tutapata 9.72%...ina maana kadirio la10% kwenye mfuko wa kuwakopesha wanafunzi imetoka kwa wanafunzi hao hao....
KWAHIYO
tunaweza ku assume kilichotengwa na serikali kuwasomesha wanafunzi ni 36,000,000,000- 3,500,000,000 = 32,500,000,000 ambacho ni kadirio la 2,700,000/= kwa mwaka kwa kila mwanafunzi kutoka kwenye bajeti ya serikali..
JIULIZE
ni shingapi ilitumika
1.kumlipa Dr.mihogo
2.kumlipa profeseli
3.kuwalipa watu tanzania nzima ili wahudhurie mikutano
3.kuwalipa waigizaji na wanamziki
4.kulipa malori ya kusomba watu
5.kulipia na kutengeneza matangazo ka kampeni...
"MLIAMBIWA ATAKAE ISOMA NAMBA SIO LOWASSA NI SISI MASKINI"
 

Attachments

  • 1446703760176.jpg
    1446703760176.jpg
    13.9 KB · Views: 226
Ccm ni ile ile wataisoma namba sijui ni shufwa au tasa warudi makwao Chuo kikuu watakiona kwenye mitandao tu.

sijui walifikiri ule wimbo aliimbiwa lowassa, tunaopata tabu ni sisi wananchi wakati huo EL watoto wakisoma vizuri, soon tutawaona ambiance pale night kali
 
Poleni sana. Hiyo ndio tanzania yenu. Boom mtalisikia tu kwenye bomba. Inaumaa wenzio wanalamba boom we unapiga miayo
 
Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi hawajui uhusiano uliopo Kati ya maisha Yao na siasa,that is why wengine hata baada ya kuonja chungu ya uongozi wa CCM,bado tukirudia uchaguzi Leo,baadhi ya watu ambao watoto wao wanahangaika kupata mkopo,wanaweza kuichagua kuichagua tena CCM
 
Acha tuisome namba eeeeeeeeeeeeeee ....

Fisiemu mbele kwa mbele
 
Hapa kazi haijaanza inakabidhiwa ufunguo leo. Tuondoleeni porojo,mtu ndio anaanza kazi unaanza kumuhukumu. Daini mapesa yenu ya chama yaliyohamishiwa Dubai baada ya kiongozi muadilifu Dr Slaa kuwaacha na zigo lenu la mavi,ndio hapohapo likapigwa dili kubwa. Kila mwenye juhudi ya kusoma atasoma tu kwa hili jembe la "HapaKaziTu" baada ya kuanza kazi leo
 
Back
Top Bottom