Asilimia 60% ya wanandoa walitamaniana 40% walipendana wewe uko ipi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Pengine umebakiza siku kadhaa kama sio jumamosi kuoa ama kuolewa
kuna research imefanyiaka asilimia 60 ya wanandoa walitkea kutamaniana
na 40 kupendanan wewe unatajia uko ipi kama sio utakuwa ipi
 
Research zingine zinachekesha, sa utapenda vipi bila kutamani kwanza :biggrin1:
 
Pengine umebakiza siku kadhaa kama sio jumamosi kuoa ama kuolewa
kuna research imefanyiaka asilimia 60 ya wanandoa walitkea kutamaniana
na 40 kupendanan wewe unatajia uko ipi kama sio utakuwa ipi
Ngoja kwanza nikatafute demu kisha ntarudi ku-comment!
 
i have a feeling you a reseracher yourself can not make a difference between the two terms. Hata waliopendana huwa wana pata shida kwenye relatioship, maana upendo hukuwa, na hufa.ita what you two do, that make a relationshio to grow, and not one of you, and sometimes not even how you started the relationship.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom