Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012.
Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Alikuwa akijibu swali la Abdallah Haji Ali (Kiwani–CUF) aliyetaka kujua kauli ya Serikali kuhusu utumiaji wa pombe ambao umethibitika kuwa ni hatari kwa afya za binadamu.
Pia alipendekeza pombe ipigwe marufuku kabisa hapa nchini kwa kuzingatia madhara yake.
Madame B yuko busy kuihudumia ndoa yake
hahahahahaha..hongera yakeMadame B yuko busy kuihudumia ndoa yake
Madame B yuko busy kuihudumia ndoa yake
hahahahahaha..hongera yake
hahahahahaha...leo nitakuwepo contena kwa rasta..kisha kuna kiwanja kipya maeneo yale Napoleon...Ndoa imenishinda.
Nimesharudi rasmi uraiani.
We niite tu pale Kontena kwa rasta nitakuja Bujibuji.
Au Kontena kwa Mama Vane nitakuja Kipaji Halisi.
sio tu kuyumba watakosa hata posho zao..zitikanazo na kodi ya Mlevi...Hao wabunge washindwe na walegee.
Pombe ziondolewe.
Afu tukayumbie wapi?
Wanacheza hao.
sio tu kuyumba watakosa hata posho zao..zitikanazo na kodi ya Mlevi...
hahahahahahahaha....mie popo daily..
hahahahahahahaha....mie popo daily..
Hao wabunge washindwe na walegee.
Pombe ziondolewe.
Afu tukayumbie wapi?
Wanacheza hao.
Hivi kweli niache Ndofu? Sirikali itapata wapi fweza za kumpeleka FastJet kwenye matanuzi? Washindwe na watetemeke daadeki!
Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012.
Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Alikuwa akijibu swali la Abdallah Haji Ali (KiwaniCUF) aliyetaka kujua kauli ya Serikali kuhusu utumiaji wa pombe ambao umethibitika kuwa ni hatari kwa afya za binadamu.
Pia alipendekeza pombe ipigwe marufuku kabisa hapa nchini kwa kuzingatia madhara yake.
Jana nilikuwa pale kontena kwa mama vane!!!Ndoa imenishinda.
Nimesharudi rasmi uraiani.
We niite tu pale Kontena kwa rasta nitakuja Bujibuji.
Au Kontena kwa Mama Vane nitakuja Kipaji Halisi.
Nisipo kunywa hawapandi Mi Vieiti yao mimi ndo chanzo cha mapato huyo waziri alikuwa ameshiba nyama za mnadani!!