Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,238
- 12,753
Ni mazingira. Hali ya hewa ngumu na fursa ya wasafiri.Iko kwenye genetics zao
Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i Found Livingstone(1871).
Zamani kila misafara inakopita ilitakiwa kuacha kodi(Hongo)kwa chifu. Mara nyingi kodi hii ilikuwa vipande vya nguo(doti) Na hakuna watu waliokuwa wanategemea Na kutoza hongo kubwa kama Wagogo. Pia wakazi wa Ugogo walikuwa wanasumbua sana kambi za wasafiri. Wakiomba na kujaribu kuiba. Kabla hajaanza safari Stanley alitaarifiwa jambo hilo. Hivyo alinunua rasmi mbwa kwaajili ya kufukuza wagogo kambini mwake. Bahati mbaya alikufa kabla hajafika Ugogo.
Kuna kipindi wagogo wengi sana walijaa kambini kwake wakitaka chochote. Ikabidi achukue mjeledi kuanza kuwafukuza. Mara wakamind kuwa mzungu anatupigaje kwenye nchi yetu. Hadi mjumbe wa chifu alipokuja kuwafukuza akiwatishia kuwa atakayeonekana kambini kwa mzungu atatozwa faini ndipo alipopata aueni.
Machifu wa kigogo walikuwa wanatoka kodi kubwa kuliko machifu wote. Karibu na kumaliza kupita Ugogo, Stanley alilazimika kupita njia za porini ili kumuepuka chifu aliyesifika kwa kutoza kodi kubwa kupita kiasi.
Hii habari ya watu wa Dodoma kuombaomba imeanza mbali sana.
Ila mazingira ya Dodoma sii rafiki sana kuishi hasa kwa watu wasioweza kujiongeza(kutawala mazingira yao) ili kupata chakula cha kutosha. Kwa asili nafikiri ni wafugaji ila sii wakulima wazuri, kwa Waafrica wengi hula nafaka nyama kwa wafugaji sio walaji wazuri pamoja na kuwa na mifugo mingi. Sasa maeneo ya Dodoma sii rafiki sana kwa kilimo. Hapo ndipo issue ya kuomba ilipoanza kujengeka. Mwisho ukitaka kujua hili nisemalo hata kwenye salam zao lazima umuulize mwenzio umekula nini na jibu ni mimekula mlenda na .... Hii inaashiria mlo ni shida au ni jambo la kuuliza kwa jirani au rafiki.Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i Found Livingstone(1871).
Zamani kila misafara inakopita ilitakiwa kuacha kodi(Hongo)kwa chifu. Mara nyingi kodi hii ilikuwa vipande vya nguo(doti) Na hakuna watu waliokuwa wanategemea Na kutoza hongo kubwa kama Wagogo. Pia wakazi wa Ugogo walikuwa wanasumbua sana kambi za wasafiri. Wakiomba na kujaribu kuiba. Kabla hajaanza safari Stanley alitaarifiwa jambo hilo. Hivyo alinunua rasmi mbwa kwaajili ya kufukuza wagogo kambini mwake. Bahati mbaya alikufa kabla hajafika Ugogo.
Kuna kipindi wagogo wengi sana walijaa kambini kwake wakitaka chochote. Ikabidi achukue mjeledi kuanza kuwafukuza. Mara wakamind kuwa mzungu anatupigaje kwenye nchi yetu. Hadi mjumbe wa chifu alipokuja kuwafukuza akiwatishia kuwa atakayeonekana kambini kwa mzungu atatozwa faini ndipo alipopata aueni.
Machifu wa kigogo walikuwa wanatoka kodi kubwa kuliko machifu wote. Karibu na kumaliza kupita Ugogo, Stanley alilazimika kupita njia za porini ili kumuepuka chifu aliyesifika kwa kutoza kodi kubwa kupita kiasi.
Hii habari ya watu wa Dodoma kuombaomba imeanza mbali sana.
kwa kiasi nakubaliana na wewe na hali hii ya kuomba kwa wenyeji imepungua kwa kiasi kikubwa hasa baada ya wageni kuja mji huu na kuongeza fursa za kipato na pia elimu mbalimbali na fursa zingingine zilizotolewa na NGO zimepunguza kiasi kikubwa sana.Ni mazingira. Hali ya hewa ngumu na fursa ya wasafiri.
Dodoma hali ngumu sana. Nikiwa mafunzo ya JKT makutupora mwaka 2001, nilikuwa nikiona wakiokota chakula jalalani nilifikiri wanaenda kupikia nguruwe... Kumbe kile ndo kilikuwa chakula chao. Mwaka ule mvua ilianza kunyesha katikati ya Dec 2001 na ikakata Februari 2002, haikunyesha tena.
Mazao yalinyauka kabisa... Sasa inahitajika akili kubwa sana ku transform maisha ya dodoma, mvua ya asili hakuna kabisa kule
Aisee..nilikuwa juzi tu mwezi wa nne ziarani
Au mpare na uchoyo.Nikama mhehe na kujinyonga tu
Kumbe sisi waTz tumezoea kulipishwa kodi kubwa sana na watawala tangu enzi hizo!Karibu na kumaliza kupita Ugogo, Stanley alilazimika kupita njia za porini ili kumuepuka chifu aliyesifika kwa kutoza kodi kubwa kupita kiasi.
ππ€£π πππππUzao Na Uzao Na UzaoIko kwenye genetics zao
ππ€£π πππππUzao Na Uzao Na UzaoIko kwenye genetics zao