Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Nashukuru kwa bandiko zuri na ufafanuzi lakini kitendo cha wewe kutokuwa na uwezo wa kujua Wabantu ni watu wa aina gani kumenifanya niamini kuwa, unabishana tu kwa kitu usichokuwa nacho ufahamu.
Haujui kuwa Wabantu wametokea wapi? Haujui pia lini hao Wabantu walitaka huko? Je walisambaa na kuweka makazi yao wapi?
Halafu ukidai kuwa karne ya 14, Bantu Ancestors (mababu wa Wabantu) unamaanisha nini? Je ulimaanisha kuwa kabla ya karne ya 14 hawakuwa Wabantu?
Halafu uliposema tu kuwa Wabantu wametokea Kaskazini, tayari niliona hii maada ni bora uende nayo taratibu usije ukaumbuka bure.

Nadhani wewe ndio usio na ufahamu na hawa watu leo unaowaita Bantu. Zamani za Kale hawa hawakuwa wanajulikana kama wabantu. Wabantu ni WAISRAELI walioandikwa kwenye bibilia ambao wengi waliwaita WASHEMU (SHEMITE) A.K.A NEGROES.

Asili ya neno Bantu ni muunganiko wa maneno mawili kati ya BA na NTU. Neno Ba lina safari ndefu ya unyambuliko wake, tukianza na Ancient Egypt (Khemet, KMT), neno BA lilimaanisha Nafsi (Personalities), Kwa kiebrania maana yake ni "Nyumba ya" na huweza kunyambulika kama wakongo wanavyosema Ba, BEN, BAR yote haya yakiwa na maana moja. Mfano ukisema BEN ISRAEL, BEN KONGO, BAR KONGO, ZANJI BAR.

NTU ni neno lenye mnyambuliko wa aina nyingi ikimaanisha ni MTU kwa Kiswahili, Hivyo ukiunganisha maneno haya na kupata neno BANTU humaanisha ni watu, nyumba mtu nk..

Pia hawa Bantu, kama nilivyoeleza hapo juu hawakuwa wanajulikana kama BANTU, walijulikana kwa makabila yao ya kale. Hata siku hizi wana Makabila tofautitofauti na ni zaidi ya 500. Lakini kwa ujumla wao huitwa WABANTU. Bantu immigration haijaanzia WEST AFRIKA (KAMEROUN) MIAKA ELFU 3 ILIOPITA, Bantu walitoka SYRIA, IRAQ, YEMEN, CANAAN, SAUDIA NA MISRI Kuelekea AFRIKA YA MAGHARIBI, KISHA KUSINI NA KATI, Na wengine Wakija na bahari ya Hindi na Kuingia Interia ya Afrika, njia nyingine walipitia Soudan hadi Kenya, Tanzania, Malawi hadi Zimbabwe.

Kumbuka nimekueleza kuwa BANTU ARE ISRAELITES IN BIBLE, SOMA BIBLIA KITABU CHA ZEFANIA SURA YA 3 MSTARI WA 10, Pia Tafuta kitabu kinaitwa Beyond the River of Ethiopia by MENSA OTABIL au Angalia Ramani ya Caucasians a.k.a CAVE DWELLERS YA MWAKA 1700 AD.
1710 AFRIKA NEGRO, BANTU, BEN ISRAEL MAP IN INTERIA AFRIKA.jpg

Ili nikuakikishie kuwa Bantu ndio Biblical Israel who scattered in all four corners of the earth, pamoja na ushahidi niliokupa hapo juu, unaweza pia kuwatambua kwa kupitia secret bantu language codes. NENO ZAMBIE ni neno la KIEBRANIA na Afrika kuna NCHI kama 4 zina root word ZAMB, kama ZAMBIA, MOZAMBIQUE, ZIMBABWE, ZANZIBAR wazungu wakaita neno ZOMBIE kama sehemu yao ya kubomoa maana halisi, Mji Mkuu wa KAMEROUN NI YAHUNDE (YAHUDI) is it coincidence? kuna neno ASHANTE, IGBO, TANZANIA, KIGALI, BUGANDA, SOUDAN, NIGER (IA), KONGO, BENIN Yute haya ni maneno ya KIEBRANIA AMBAYO YANAPATIKANA KWENYE LANGUAGE CODES ZA KIBANTU.
 
Ndg, hawa Tuareg kwanza ni waafrika tena weusi ti na ni jamii ya BERBERS wa Mauritania, Algeria, Morocco na West Sahara. Makabila haya yalifika Timbuktu karne ya 14, na hawa ndio waliokuja kuiangusha Timbuktu kwa kushirikiana na Moors (Israelites of Islamic Faith). Hawa Moors, ambao waling'olewa Iberian Peninsula (Portugal and Spain) karne ya 14 kule Ulaya baada ya kuwatawala wazungu kwa miaka700 yaani kuanzia Mwaka 700 AD hadi Mwaka 1470 AD. Baada ya hapo wakapigwa kwa muungano wa Jeshi la Ulaya likifadhiliwa na Vatikan. Waliporudishwa Afrika ndipo karne hiohio ya 14 kwa kuungana na Tuareg na kucontrol timbuktu kisha kushut down.

Kwahio sio kweli kuwa Taureg walikuwa watawala pale, hawa walikua maadui wa ustawi wa Timbuktu ya Wabantu. Fanya utafiti wakina
Sikumaanisha watawala katika sense ya administration ama rule bali domination katika mambo ya kibiashara na kidini. Kumbuka miji ya Sudanic states iljengwa kwenye kingo za maeneo makame so walitegemea sana biashara kutoka Kaskazini.
Aidha, Watuareg kuwa weusi haimaanishi wana dame kubwa ya kinegro ama kibantu. Wao ni Hamites kama walivyo Berbers.
Ila nakanusha madai yako kudai Moors waliiangusha Timbuktu. Huu mji ulipokuwa katika peak ulikuwa makao makuu ya Dola ya Mali. Dola hiyo haikusambaratika kwa kupigwa na foreigners kama ilivyokuwa kwa Ghana (Almoravids) ama Songhai (Moroccans). Ndiyo maana wengi wanaona kuwa Songhai ni mwendelezo wa Dola ya Mali kwa kuwa Mali ilistawi katika Karne ya 12 - 14. Hivyo Moroccan invasion ilihusu Makao makuu ya Dola ya Songhai ambao ni mji wa Gao, uliopigwa mwishoni mwa karne ya 15 (nadhani mwaka 1499).
Halafu ninaona kuwa unachanganya miaka na karne maana nimeshangaa kuona mwaka 1470 umeita karne ya 14, is it?
 
Nadhani wewe ndio usio na ufahamu na hawa watu leo unaowaita Bantu. Zamani za Kale hawa hawakuwa wanajulikana kama wabantu. Wabantu ni WAISRAELI walioandikwa kwenye bibilia ambao wengi waliwaita WASHEMU (SHEMITE) A.K.A NEGROES.

Asili ya neno Bantu ni muunganiko wa maneno mawili kati ya BA na NTU. Neno Ba lina safari ndefu ya unyambuliko wake, tukianza na Ancient Agyprion neno BA lilimaanisha Nafsi (Personalities), Kwa kiebrania maana yake ni "Nyumba ya" na huweza kunyambulika kama wakongo wanavyosema Ba, BEN, BAR yote haya yakiwa na maana moja. Mfano ukisema BEN ISRAEL, BEN KONGO, BAR KONGO, ZANJI BAR.

NTU ni neno lenye mnyambuliko wa aina nyingi ikimaanisha ni MTU kwa Kiswahili, Hivyo ukiunganisha maneno haya na kupata neno BANTU humaanisha ni watu, nyumba mtu nk..

Pia hawa Bantu, kama nilivyoeleza hapo juu hawakuwa wanajulikana kama BANTU, walijulikana kwa makabila yao ya kale. Hata siku hizi wana bakabila tofautitofauti na ni zaid ya 500. Lakini kwa ujumla wao huitwa WABANTU. Bantu immigration haijaanzia WEST AFRIKA (KAMEROUN) MIAKA ELFU 3 ILIOPITA, Bantu walitoka SYRIA, IRAQ, YEMEN. CANAAN, SAUDIA, MISRI Na Kuelekea AFRIKA YA MAGHARIBI KISHA KUSINI NA KATI, Na wengine Wakija na bahari ya Hindi na Kuingia Interia ya Afrika, njia nyingine walipitia Soudan hadi Kenya, Tanzania, Malawi hadi Zimbabwe.

Kumbuka nimekueleza kuwa BANTU ARE ISRAELITES IN BIBLE, SOMA BIBLIA KITABU CHA ZEFANIA SURA YA 3 MSTARI WA 10, Pia Tafuta kitabu kinaitwa Beyond the River of Ethiopia by MENSA OTABIL au Angalia Ramani ya Caucasians a.k.a CAVE DWELLERS YA MWAKA 1700 AD.View attachment 596496
Ili nikuakikishie kuwa Bantu ndio Biblical Israel who scattered in all four corners of the earth, pamoja na ushahidi niliokupa hapo juu, unaweza pia kuwatambua kwa kupitia secret bantu language codes. NENO ZAMBIE ni neno la KIEBRANIA na Afrika kuna NCHI kama 4 zina root word ZAMB, kama ZAMBIA, MOZAMBIQUE, ZIMBABWE, ZANZIBAR wazungu wakaita neno ZOMBIE kama sehemu yao ya kubomoa maana halisi, Mji Mkuu wa KAMEROUN NI YAHUNDE (YAHUDI) is it coincidence? kuna neno ASHANTE, IGBO, TANZANIA, KIGALI, BUGANDA, SOUDAN, NIGER (IA), KONGO, BENIN Yute haya ni maneno ya KIEBRANIA AMBAYO YANAPATIKANA KWENYE LANGUAGE CODES ZA KIBANTU.
Tusiongee mengi, fuatilia racial distribution ya Waafrika utaona nani mkweli. Wewe, watu wa Afrika Magharibi ambao ni Negro, utawaitaje Bantu?
Kwa taarifa yako, Wabantu wameishia Cameroon kurudi Kusini na Mashariki ya Afrika, basi. Huko Magharibi ya Afrika kuanza Nigeria hadi Senegal hao ni Wanegro.

IMG_1141.JPG

Hiyo kijani kuanzia Cameroon ndio Wabantu. Achana na ile kijani iliyoanzia Nigeria kwenda Liberia.
 
Hivi ile kauli ya yule Mtaalam aliyegundua Structure ya DNA Dr Watson kuhusu Akili za watu weusi genetically iliishia wapi katika duru za wanasayansi?
 
Labda wajuzi wa biology watusaidie humu maana mambo mengine ni vizuri kuongelewa na wataalamu wa hiyo category.
 
Sikumaanisha watawala katika sense ya administration ama rule bali domination katika mambo ya kibiashara na kidini. Kumbuka miji ya Sudanic states iljengwa kwenye kingo za maeneo makame so walitegemea sana biashara kutoka Kaskazini.
Aidha, Watuareg kuwa weusi haimaanishi wana dame kubwa ya kinegro ama kibantu. Wao ni Hamites kama walivyo Berbers.
Ila nakanusha madai yako kudai Moors waliiangusha Timbuktu. Huu mji ulipokuwa katika peak ulikuwa makao makuu ya Dola ya Mali. Dola hiyo haikusambaratika kwa kupigwa na foreigners kama ilivyokuwa kwa Ghana (Almoravids) ama Songhai (Moroccans). Ndiyo maana wengi wanaona kuwa Songhai ni mwendelezo wa Dola ya Mali kwa kuwa Mali ilistawi katika Karne ya 12 - 14. Hivyo Moroccan invasion ilihusu Makao makuu ya Dola ya Songhai ambao ni mji wa Gao, uliopigwa mwishoni mwa karne ya 15 (nadhani mwaka 1499).
Halafu ninaona kuwa unachanganya miaka na karne maana nimeshangaa kuona mwaka 1470 umeita karne ya 14, is it?

Ni kweli ulichosema kuwa Tuareg hawana damu ya Bantu. Lakini kumbuka ni ngumu sana hawa watu yaani Hamites na Shemites kuwatenganisha, maana tangu kale waliowana na kuingiliana mara kwa mara. Hata shemites waliowa wanawake wakanaani ambao walikuwa Hamites ingawaje twafahamu kuna distinction kati yao.

Kuhusu karne na miaka inavyosomeka , karne ya kwanza AD, ni kuanzia mwaka 65 AD hadi mwaka 164 AD, Hivyo karne ya 14 AD huanza mwaka 1365 AD hadi 1464 AD. Kama kuna sehemu nimeeleza miaka 1470 AD ni karne ya 14 ni makosa ya kiuandishi.
Kuhusu Timbuktu kuwa shut down by Moors, tafiti historia ya hawa Moors, baada ya kufurumushwa Ulaya, walipofika Afrika, walifanya nini kule West Africa, angalia hizi discussion, kumbuka Half of our History is not yet being told. MOORS INVADED TIMBUKTU IN A YEAR 1591 and shut down.
 
Tusiongee mengi, fuatilia racial distribution ya Waafrika utaona nani mkweli. Wewe, watu wa Afrika Magharibi ambao ni Negro, utawaitaje Bantu?
Kwa taarifa yako, Wabantu wameishia Cameroon kurudi Kusini na Mashariki ya Afrika, basi. Huko Magharibi ya Afrika kuanza Nigeria hadi Senegal hao ni Wanegro.

View attachment 596511
Hiyo kijani kuanzia Cameroon ndio Wabantu. Achana na ile kijani iliyoanzia Nigeria kwenda Liberia.

Kaka mbona unajiwekea shield? kulikoni? who are Negros? who are Bantus? Hawa ni watu wamoja kwa bloodline. Y-DNA YA Negroes ni E1B1A na ndio Y-DNA ya Bantus. Wazungu ndio huleta confusion miongoni mwetu kwa malengo ya kututenganisha kuwa sisi sio wamoja, WE ALL THE SAME PEOPLE WITH DIFFERENT NAMES ACCORDING TO THE OUTSIDERS. Discussion zangu zote nimekuonyesha kuwa hawa Negro ndio haohao Bantus. sasa nakushangaa unaniambia hio kijani ya Ghana, Nigeria, Togo, Liberia, Mali, unaitenganisha na Kijani ya huku chini, NIKICHEKESHO SANA.
 
Una maneno mengi sana wewe naona mpaka tumeshatoka kwa Kiwango kikubwa kwenye mada yenyewe. Kwa kuwa nimeona pia wewe ni mzuri kwenye historia, basi tusaidiane pia kwa kukosoana ki-objective ili tuueleweshe umma wetu wa Watanzania na Afrika kwa ujumla.
Sasa uendelee kufanyia kazi kiini cha uwezo dunia wa sisi waafrika. Usinitajie wasomi wa kiafrika ama wavumbuzi ambao ukienda kila jamii inao na wengi kuliko wa huku kwetu.
Tujadili vita vya maana vya kwa nini Watanzania wanaoishi mwambao wa Ziwa wanalia njaa wakati wanalo Ziwa?
Kwa nini hadi wakoloni wanakuja nchini, baadhi ya jamii za Mkoa wa Manyara na mikoa inayouzunguka, ziliishi kwa kutegemea kuwinda na kila mizizi na matunda pori tu?
 
Kaka hapa umeleta maada mzito na yenye maudhui mapana sana sii tu kwa jamii zile za kale pia hata hizi jamii za siku hizi bado wanalia njaa, na Wiki mbili zilizopita nilikuwa Manyara nikimaanisha pale babati, nikaelekea mbulu na ziara yangu ikaishia kata ya Haydom nikarudi Dar.

THE WORLD KNOWS US, BUT WE DONT KNOW OURSELVES, THE WORLD DEPLOYS THEIR THINK TANKERS PURPOSEFUL TO STUDY US AS WELL AS TO RESEARCH US WHAT WE ARE THINKING NOW ABOUT OURSELVES, AT WHAT LEVEL DO WE ACTUAL KNOW WHAT TO DO IN ORDER TO OVERCOME OUR DEADLY SITUATION ECONOMICALLY, SOCIALLY, CULTURALLY AND SPIRITUALLY.

HAVE WE AWAKENED TO KNOW THE REASON OF BEEN YAHWEH'S PEOPLE ON EARTH? OR ARE WE STILL DEAD MENTALLY AND SPIRITUALLY?

Kuna viumbe hua vinaheshimu na kulinda sana mazingira ya uasili (Protectors of Nature) kama ndio njia ya kudmisha uhai na uwepo wao. Hili ni swala la Kiroho sana. Viumbe hivi hupenda na hupendwa na nature kwa vile ndio chanzo cha uwepo wetu. Kuheshimu kwao NATURE, Kulinda kwao NATURE, huwafanya wawe na maarifa makubwa ya kukabiliana na athari yeyote wanayokumbananayo katika mazingira yao. They are not Corrupted or Polluted beings, they are not defiled and they are not Materially beings.

Kupungua kwao kwa idadi inatokana na sisi kuwapolute kwa kuwanyang'anya maeneo yao ambayo wamepreserve kwa miaka bilioni eti kuwapa wawekezaji ambao ni Wazungu. Cha ajabu hao wazungu wanakuja kuwinda kama wao, wanakuja kuharibu mazingira kwa kuchimba Vito ambavyo ni Materially objects ambavyo kwa jamii hii, hawaitaji.Hawa ndio bin-adamu (The purest house of Human), twaweza kufahamu dawa za asili kupitia jamii hizi na tukaongeza manjonjo zikawa ni dawa za kisasa.

Pia Wazungu huwazingira hawa kwakuwafanyia utafiti, hujifunza mambo mengi sana kupitia jamii hizi kwani zina siri mzito sana, kama elimu ya science ya anga za juu. Tusidhani kama wazungu wanakwenda maeneo haya kutembelea Wanyama, La hasha, wanafaidika sana na Jamii hizi ambazo kwa namna nyingine sisi tunawadharau.

Kuhusu ndg zetu wanaozunguka Maziwa kuwa na Njaa, nadhani hapa kuna mambo lazima tuyatazame kwa jicho la Tatu.
Mosi, jamii hizi huwa ni jamii zinazojishughulisha sana na UVUVI na si UKULIMA.
Pili, Mifumo ya Serikali ni ya ukandamizaji, huchochea woga wa kuthubutu kwa kuhofia kukamatwa na kufungwa
Tatu, Heshima na Woga wa Serikali kwenye Mikataba ya Kilofa ya matumizi ya Maji ya Mito na Maziwa chini ya wakoloni
Nne, Urithi wa UVIVU wa vizazi vilivyo zunguka Mito na Maziwa.

Maoni na Mapendekezo: Afrika ibadili majina ya washenzi wa Ulaya katika Mito, Milima, na Maziwa yetu katika mitaala yake kuanzia shule za AWALI hadi Vyuo Vikuu.
Pia, Vitabu vyote vya mitaala na kiada, zisiwekwe kabisa picha za WAZUNGU, WAARABU, WAHINDI NA WACHINA.
Mikutano inayofanyika ya Serikali Kuu na Taasisi zote, wasiwapo WAZUNGU, WAARABU, WAHINDI NA WACHINA unless otherwise kuna mtu sio watu, Mtu kaalikwa kwa utaalamu wake.
Pia Serikali ianzishe operation Ondoa Njaa kamaenzi za Mwalimu, Kila Kijana katika kaya lazima awe amelima Hekari 5 za Mahindi ama Mpunga, Ulezi, Uwele mtama na Maharagwe na Serikali itoe ruzuku kwa wakulima wote nchini na ijiwekee malengo ya kuhakikisha kila kijiji kunakuwa na Tractor 3 kwa kuanda Jamii iwe ndio wawekezaji wakubwa wa kilimo.
Hapa Njaa haitakuwapo, hatutakua na utegemezi tena, na Nchi itakuwa na Uchumi IMARA na Endelevu.
 
Hapa Njaa haitakuwapo, hatutakua na Tegemezi tena, na Nchi itakuwa na Uchumi IMARA na Endelevu.

Gud observation Mzee. Najitahidi kumalizia bandiko langu la Tanzania, hapo ndio mjadala utatuhusu watu wote na utakuwa mpana sana.
 
These are the Intelligence Quotient (IQ) of the Black Peoples throughout the World:
  • World peoples average - 89.
  • Amerindians; Polynesians; Micronesians and Melanesians - 87.
  • US Blacks; British Blacks - 86.
  • Modern Aborigines (White Aborigin mix) - 85.
  • Arabs - 83.
  • South Asians - 81.
  • Caribbean Blacks - 72.
  • African Blacks - 71.
  • Papuans - 64.
  • Aborigines (Pure blood) - 62.
  • Bushmen - 50.
  • Pygmies - 50.
Source: Lindsay Robert "Blacks are Least Intelligence Race of All."

IQ za wazungu ni kubwa na ndio wakafika kuoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake na pia kuoa na kuolewa na wanyama kama mbwa na wengineo
 
IQ za wazungu ni kubwa na ndio wakafika kuoana wanaume kwa wanume na wanawake kwa wanawake na pia kuoa na kuolewa na wanyama kama mbwa na wengineo
Hakuna haja ya kufika huko na kuweka mambo ambayo kwa jamii ya kiafrika bado yanaonekana mabaya ukadhani wazungu nao wana mtazamo kama wetu. Lakini wao wakitudharau endapo wafugaji wetu wenye ng'ombe hadi zaidi ya 100 kuishi kwenye nyumba za nyasi na zisizo na umeme, maji na choo itakuwa ni sawa kabisa.
Mambo ya kitamaduni ni matokeo ya maendeleo ya jamii husika katika mfumo wa uzalishaji mali (modes of production).
 
''Evolution is a facade boss!'' Zile 'civilizations' kuu na bora za kale nyingi zilianzishwa na mtu mweusi mf Misri,Ethiopia,Babiloni(kama kumbukumbu zangu ziko sawa) nk

Endelea na uchunguzi wa kina mkuu.
 
Sawa ngoja tujitahidi lakini unanishangaza kubishia evolution theory. Hivi ukiangalia picha za Waafrika za karne ya 19 na za sasa zinafanana? Je ukiangalia sura matata za kizungu za karne ya 19 tu zinafanana na za sasa?
Je unakubali uwepo wa dinosaurs ama napo haukubali? Kwa nini unakubali? Kama unakubalikwa nini usikubali na ya human evolution kwa kuwa njia ya kupata hizo taarifa ni kupitia mabaki yao.
 
ni kweli binadamu wa leo tuna mabadiliko kadhaa miilini mwetu tofauti na wa karne zilizopita iliyosababishwa na sababu tofauti tofauti kama utofauti wa eneo kijiografia,shughuli za jamii husika nk. vilevile naamini kweli dinosaurs walikuwepo kipindi hicho bila ubishi maana kama vile ulivyosema tunao ushahidi wa mabaki yao.

ninachopinga mkuu ni hiyo hoja yako hapo juu kuwa Waafrika IQ yetu ni ndogo tangu kitambo...hii si kweli kabisa!kama mifano niliyokutolea hapo juu ya 'civilizations' zilizopita ambazo mpk leo alama zake duniani bado zipo...kama IQ yao ingekuwa ndogo wangefanikiwa yote hayo?? mfano kuna mfalme alipata kutawala kutoka Kushi(Ethiopia) alieitwa Nimrod ambae ufalme wake ulisambaa karibia dunia yote ya kale kama miji ya Babylon,Erech,Accad(Akkad). ndie alieasisi mpango wa kuwajumuisha jamii zote ziwe nchi moja chini yake...na ndie anaedhania na baadhi ya wataalamu kuwa ndie mfalme wa kwanza duniani. huyu jamaa alikuwa ni mtu MWEUSI! na pia lazima ujue mkuu kuwa ktk 'dating' ya mafuvu pamoja na 'fossils' zingine njia inayopenda kutumiwa na wataalamu ni carbon 14 ambayo ndio inaaminiwa kuwa ina uwezo wa kufanya hiyo kazi kwa usahihi zaidi. lakini kuna ushahidi(uniwie radhi sina rejea hapa nilipo mkuu) ya kuwa carbon 14 ina matatizo yake lukuki ambayo yanaweza sababisha ikatoa makadirio potofu! na ndio maana kuna baadhi ya wataalamu duniani wanasita kuitumia mara nyingine ktk kazi zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom