Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,280
Basi tufanye kazi za ulinzi ili tuzitumie alikili zetuAkili ya Mwafrika inakuja saa 6 usiku
Na kuondoka saa 12 asubuhi
Basi tufanye kazi za ulinzi ili tuzitumie alikili zetuAkili ya Mwafrika inakuja saa 6 usiku
Na kuondoka saa 12 asubuhi
South africa ili pata uhuru kutoka kwa Mwingereza baada ya Bore War ambayo Winston Churchill pia alipigana akiwa kijana.Unaijua Zimbabwe kweli au unahadithiwa! South Africa hakutaliwa na uk,
Wewe usidhani naongea tu humu kupoteza muda? Wewe unaisikia tu Zimbabwe nadhani unataka uniambie matatizo ya kiuchumi na kimaisha iliyo nayo tangu 1998 ilipoanza kuchukua mashamba, right?Unaijua Zimbabwe kweli au unahadithiwa! South Africa hakutaliwa na uk,
Wale wahindi wekundu ni Waasia waliohamia huko kipindi Mkondo Bahari ya Bering unaotenganisha Siberia na Alaska ulipokuwa ni barafu ya kudumu.Tuareg ni mchanganyiko wa damu, kuna wengine ni we
Kama hilo ni la uhakika , je kule Amazon kuna wale wahindi wekundu, hawafanani nasi waafrika ? Mazingira ni 99% sawa ....
What?mmmhh
Kibaiolojia, inaelezwa kuwa, kinachofanya mmea kukua ni sawasawa na kinachofanya mwanadamu pia kukua.
Mimea yote inahitaji mahitaji muhimu yafuatayo ili kukua na kustawi:
Kiwango ambacho mmea unahitaji kwa kila vitu hivyo tajwa, itategemea na asili ya ya mmea husika.
- Madini kwenye udongo. Udongo wenye virutubisho vingi unazalisha mmea wenye afya nzuri.
- Maji.
- Hewa (carbon dioxide, hydrogen na oxygen).
- Mwanga wa jua.
- Joto stahiki kwenye udongo.
- Hewa stahiki kwenye udongo.
Jinsi mimea inavyokua kutoka hatua ya uchavushaji hadi mavuno - "the growing cycle" inahusisha: Pollination - Seed formation - Seed dispersal - Germination - Continual growth (kupitia processes za photosynthesis, nutrient transfer na transpiration).
Ulishajiuliza kwa nini mmea wenye asili ya Ulaya mfano Pine hauwezi kukua nchi za Afrika ila mpaka kwenye maeneo yenye baridi? Huwezi kumkuza tembo katika nchi za Ulaya (labda kwa sasa baada ya kukua kwa teknolojia).
Hivyo hiyo kanuni nayo inawafuata wanadamu - Mzungu hata kama atazaliwa Afrika, bado ataendelea kuwa na sifa za kizungu zaidi kuliko za kiafrika kama ambavyo Mwafrika aliyezaliwa Ulaya ataendelea kudisplay tabia na akili za uafrika zaidi kuliko uzungu.
Kwa ujumla, Bara la Amerika ya Kaskazini na Ulaya yana idadi kubwa ya Waafrika wasomi kutokana Waafrika bright kukimbilia huko. Lakini watoto wanaowazaa huko, hawana tofauti kubwa kiakili na wale walioko Afrika kwa sababu wana nasaba za uafrika kuliko za uzungu.
Unazifahamu vyema Nchi za Iberian Pensinsula (Spain & Portugal) kweli? Fuatilia kwenye Karne ya 15 - 17, wapi kati ya Iberia vs Western Europe (Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji na Uholanzi) walikuwa foremost katika Capitalism (Mercantile Capitalism).
Hao sio Waafrika, ni jamii ya Homo Sapiens (kutoka Afrika) waliozaliana na Denisovars (Homo Erectus waliohama Afrika zaidi ya miaka milioni 1 iliyopita). So, watu weupe (Wazungu, Waasia na Waamerika) ni mchanganyiko wa aina mbalimbali za watu tofauti na sisi WaAfrika ambao ni matokeo ya Homo Sapiens Evolution kutoka Afrika Mashariki na kusambaa West hadi South Afrika.
Tunapoongelea Wazungu na Waasia, pamoja na Waarabu, msisahau kufikiria juu ya Anunnaki.
Vilevile, kumbukeni kuwa, kilicho- na kinachotutesa sana Waafrika ni magonjwa hasa Malaria, trypanosomiasis, na yellow fever. Haya magonjwa yamekuwa na effect kubwa sana kwa akili ya Mwafrika. Kwa wenzetu, hawana magonjwa haya, isipokuwa tu South America ambako kumekuwepo Yellow Fever. Vilevile, baadhi ya maeneo ya India yana malaria lakini siyo kali kama malaria ya Afrika.
No, bado Theory ya Evolution inapoint Africa kama cradle of mankind. Hao Homo Erectus, waliondoka Afrika zaidi ya miaka milioni 1.7 wakiwa wameshafikia hiyo stage ya Homo Erectus. Hao hao Homo Erectus wamekua huko (Ulaya ya Kusini na Asia) kwa muda huo mrefu toka miaka hiyo.Kwa maana hio , *theory* ya kusema kuwa Afrika ni chimbuko la wanadamu , inajipinga wenyewe ( Hao Homo Erectus, walitokea Afrika pia ? Au walikuwa huko nje ya Afrika ? Je evolution bado inaendelea ? Kama ndio , kwa karne hii, kuna kiumbe gani kimebadilika ? Kama hamna , je *theory* ya evolution huoni Kama inatupiga miaka mingi ili tushindwe kuhoji? Je pia huoni katika upande wa Historia kuwa vyanzo ni vitabu vya wazungu ? Tuamini yote au nasi tufanye utafiti wetu ? Maana mshindi maisha huandika historia hâta Kama sivyo , rejea Vita vya Vietnam, Afghanistan n.k)
Watu wanaowatuhumu Wazungu kuwa, wameandika vitabu kujisifia wao wenyewe watakuwa wanawaonea Wazungu bure. Wenzetu walishatoka kwenye stages za kuishi kwa intuition na badala yake wanakazania zaidi empiricism. Ni fahari kwao kuwa wa kwanza kugundua ama kuvumbua kitu. Na kwa elimu ilivyokua hivi, ni vigumu kwao kusifia kwao wakati utafiti unakataa. Nakwambia swali hasa Kabila ya Karne ya 20, Wazungu walisumbuka sana kuona kuwa, mafuvu ya binadamu wa kale yalikuwa yakigunduliwa tu nje ya Ulaya, indeed barani Afrika kwani hawakutaka kuwekwa kundi moja na Waafrika lakini kupitia Carbon 14, ilimaliza ubishi na kuua stereotype yao dhidi ya origin ya binadamu.Kwa maana hio , *theory* ya kusema kuwa Afrika ni chimbuko la wanadamu , inajipinga wenyewe ( Hao Homo Erectus, walitokea Afrika pia ? Au walikuwa huko nje ya Afrika ? Je evolution bado inaendelea ? Kama ndio , kwa karne hii, kuna kiumbe gani kimebadilika ? Kama hamna , je *theory* ya evolution huoni Kama inatupiga miaka mingi ili tushindwe kuhoji? Je pia huoni katika upande wa Historia kuwa vyanzo ni vitabu vya wazungu ? Tuamini yote au nasi tufanye utafiti wetu ? Maana mshindi maisha huandika historia hâta Kama sivyo , rejea Vita vya Vietnam, Afghanistan n.k)
Nimefurahishwa sana na hoja yako kuwa, "Evolution Theory inatupiga miaka mingi ili tushindwe kuhoji." Unasema kweli kuwa, pamoja na jitihada zangu za kusoma historia, kichwa changu kilikuwa kinapata shida sana kuelewa mambo yote ya Mwanadamu katika Zama za Mawe (Stone Ages). Hata hivyo, hiyo miaka inapatikana kupitia upimaji wa kisayansi kwa kutumia vyanzo mbalimbali ikiwemo Carbon 14.Kwa maana hio , *theory* ya kusema kuwa Afrika ni chimbuko la wanadamu , inajipinga wenyewe ( Hao Homo Erectus, walitokea Afrika pia ? Au walikuwa huko nje ya Afrika ? Je evolution bado inaendelea ? Kama ndio , kwa karne hii, kuna kiumbe gani kimebadilika ? Kama hamna , je *theory* ya evolution huoni Kama inatupiga miaka mingi ili tushindwe kuhoji? Je pia huoni katika upande wa Historia kuwa vyanzo ni vitabu vya wazungu ? Tuamini yote au nasi tufanye utafiti wetu ? Maana mshindi maisha huandika historia hâta Kama sivyo , rejea Vita vya Vietnam, Afghanistan n.k)
cc kiranga...Hahaha..mzungu ana akili zaidi ya mwafrika ndio maana amekuletea dini yake na wewe umeiamini...Bila mzungu hata huyo Mungu wako unaemuamini usingemjua.,..hehehe niambie kabla ya kuja mzungu waafrika walikuwa na imani gani?....
Nimefurahishwa sana na hoja yako kuwa, "Evolution Theory inatupiga miaka mingi ili tushindwe kuhoji." Unasema kweli kuwa, pamoja na jitihada zangu za kusoma historia, kichwa changu kilikuwa kinapata shida sana kuelewa mambo yote ya Mwanadamu katika Zama za Mawe (Stone Ages). Hata hivyo, hiyo miaka inapatikana kupitia upimaji wa kisayansi kwa kutumia vyanzo mbalimbali ikiwemo Carbon 14.
Yes, unasema kweli. Hawaiamini sana Njia ya Radiocarbon dating kwa sababu haina uwezo wa kutoa precise period bali ina-estimate. Sasa hivi wanatumia pia nyingine kama remote sensing.Lakini hio carbon 14 pia ina mashaka Yake, baadhi ya hao Hao wanasayansi hawaikubali !!! Lakini *theory* sio kithibitisho, sio Kama nambari 2+2 = 4.
Hahaha..mzungu ana akili zaidi ya mwafrika ndio maana amekuletea dini yake na wewe umeiamini...Bila mzungu hata huyo Mungu wako unaemuamini usingemjua.,..hehehe niambie kabla ya kuja mzungu waafrika walikuwa na imani gani?....
Dah!! Hapo hakuna kuelewana kabisa.Pole, ingia rohoni, tutaongea lugha moja. Ukiwa mwilini, mie niko rohoni, hatuwezi kuelewana.