Asili ya jina la Manzese

Na mchamba wima asil yake ni nini?

Eneo hilo la "Mchamba wima" zanzibar liliota majani marefu yanayowasha kiasi kwamba wanaojisaidia pale ni lazima "wachambe wima" ndipo likatokea hilo jina mchamba wima.
 
Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.
Asante mkuu kwa masahihisho. Uko sahihi.
 
hahaha! thanx, JF ni kisima cha maarifa na burudani! Asanteni-kwetu kwaitwa Ngadinda, kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa hafungi mlango (Kudinda) wa nyumba yake ingawaje kulikuwa na simba wengi sana, tangu hapo tunajmuvuzisha na Ngandinda yetu!
 
Du hii nayo kali tena je? na Kilemya iroya (kilimanjaro) Mawenzi (Makwenzi :flypig:yaani kugongwa kwenzi na kubondeka ? ?) Idodommya, Mpale! Matobolwa, Mwananyamala, makunduchi, mchambawima,
 
....na MSOGA?
Watu wa huko hupenda kupiga Soga badala ya kazi ndio maana maendeleo yaliyoletwa na waarabu yalipotea hadi leo imebakia historia tu watu huko wana vichwa nazi...

Mikocheni - Michael Chan

Makunduchi zanzibar tuiache hii

Chalinze - Charles Ince

Kilima Nyege kipo Njia ya Muelekea Tanganyika International School hichi kilipata jina kutokana na uhalisia wake zamani ilikuwa ukikishuka kwa speed kiasi lazima utastuka... kama unapokuwa unashuka kwenye elevetar za zenye kuonesha inavyoshuka... ukitizama lol kama unadondoka vile,

Zanzibar - Kulikuwa na Bar nyingi sana na kulibu kisiwa chote walikuwa Walevi hadi leo kuna walevi wengi japo hujificha.
 
Jina dodoma asili yake ni eneo la swamp ambalo ng'ombe walikuwa wanadidimia . eneo hilo ndio present day Dodoma.

'idodomia' maana yake panadidimia. . .na waliokua wanaenda pale ni tembo wakinywa maji wanazama kwenye tope. Ndio ndugu zetu wagogo wakaita idodomia. . .wazungu wakashindwa kutamka wakasema dodoma
 
Musa Hassan lilianza kubadilishwa na wamakonde waliokuwa wengi eneo hilo na kuita kwa 'Nsa' Asani kutokana namatamshi ya kichinga baadae likawa Msasani

Inaelekea haa Yule Mchezaji wa kibongo Nsa Jigwa yawezekana anaitwa Mussa Jibwa wakatamka Nsajigwa

Thumni - Chumuni au Chenti Hamchini

Hamsini - Hamsiini

Silipi nauli - kama Mmakonde chi Mutu bachi Chilipi Nauli

Ukichimama nakupiga nchale ukikimbia nakupiga nchale ukilala pia nakupiga nchale..
 
very interesting! Guys whoever knws the origin of the name of any place, just post it plz. It's so good to know our roots, so that we can live long enough to narrate it to the next generation.
Kuna LOGIA , Babati . Kutokana na mlima walitakiwa kuendesha gari KUTUMIA LOW GEAR. KIBORLONI (KIBO ALONE) na KIBIRIZI ,KIGOMA (COOL BREEZE)
 
Mto lukuledi upo masasi umetokana na neno la kiingereza LOOK LADIES, wazungu walikuwa hawabanduki mtoni kutazama figa za watoto wa kimakua walikokuwa wanaoga na kufua mtoni. kila wakipita LOOK Ladies, wamakuwa wakaona aanhaa, huo mto ni LUKULEDI
 
Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.
Nini asili ya neno Temeke?
 
Mussa Bin Bique (Arabic: موسى بن بيك‎), other names Musa Al Big or Mossa Al Bique or Mussa Ben Mbiki or Mussa Ibn Malik, was a ruler of the Island of Mozambique, before the Portuguese overtook the island around 1500.
 
Back
Top Bottom