Asili ya dunia ni dhambi na dhambi si hatia

'Kufa kufaana' tupo duniani 'kuchumia tumbo' na hakuna dhambi nikitenda dhambi kwa sababu ipo hili niitende niishi, Niende moja kwa moja kwenye hoja:-

Lengo la kutengeneza silaha nikuua watu, nia nikupata pesa unapoziuza, hapo unazalisha ajira na mapato ya serikali ambayo baadaye yanakwenda kulipa wafanyakazi ambao baadaye watakwenda kununua bidhaa nakuwachangia wafanyabiashara nakutoa sadaka kanisani ambazo baadaye uboresha miundombinu na maisha ya watumishi wa kanisa kuendelea kukemea uovu.

Magonjwa yanapotengenezwa kupitia vyakula,madawa,mitindo ya kimaisha, maabara na baadaye kuenezwa kimakusudi kwa kujua, je wanaofanya hivyo huwa wanakuwa wamekosea au wako sawa?

Achana na kifungo cha utu na huruma(ubinadamu) ebu fikiria kwa umakini, mfano Ukimwi, Kansa, kisukari na magonjwa mengine yanayotesa wanadamu leo hii yapate dawa nakutokomezwa kabisa, je wahisi ni faida kwa dunia au hasara?

Je, ni ajira ngapi zitapotea, biashara za madawa itakuwaje, vipi mapato, wangapi watapoteza taaluma zao,n.k

Je, ikiwa watu wataachwa waongezeke pasipo kuuliwa/kupunguzwa kwa njia mbalimbali wahisi dunia itakuwa mahala salama pa kuishi ukizingatia rasilimali tuliyonayo(scarcity) na uwiano wa matumizi/uhitaji wake, je itabaki kwenye balance nzuri?

Kumbe shida yako ndo kuponea kwangu bila wewe kupata shida mi nikaja kukutatulia/kuneemeka na kutokuwepo kwako hatujaishi bado, hivyo nikikupa nabarikiwa ila nikikukwapulia unanilaani(dhambi) nikiwapelekea familia ile riziki niliyokwapua wakala wasife njaa(baraka) hivyo bila kutenda dhambi maisha duniani yasingewezekana

Kwa maana kupitia dhambi jema huja kusawazisha ubaya baadaye dhambi uchukua nafasi yake kumaintain equilibrium na ni endless process hivyo nathibitisha kwamba dhambi siyo hatia bali ipo hili tuiishi.
Dhambi ni nini?
 
Your perception ni extremely distorted and draconian.You wouldn't have been more evil.Hapa ume-lay bare concept ya thesis na antithesis or if you wish the end justifies the means, ambayo kimsingi inatoka kwa Shetani mwenyewe.Nimalizie kwa ku-conclude kwamba,sio lazima ufanye mabaya ili mema yaje,unaweza ukafanya mema tu,na mema yakaja.Kimsingi tuliumbwa tufanye mema,na hayo ndiyo tuliyo- umbiwa.Kumbuka kwamba Mungu alimwambia Adam katika Mwanzo 2:17

"lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa!" Hii inatuhakikishia kwamba Mungu hakutaka tujue na tufanye evil,he wanted us to do only good.This also proves that knowing evil and doing evil is what causes us to die.

"Lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile.." Japo mwanadamu akaenda kinyume na agizo la mungu akala (akatenda dhambi) kwa maana hiyo ndani ya ufahamu wake akawa na mema(yanayompendeza aliyemuumba) na mabaya(yanayomchukiza muumba) kwa pamoja, hivyo swali langu ni dogo tu kivipi mwanadamu huyu ambaye ameshachagua tiyari kujua pande zote mbili za shilingi(jema na baya)na kimsingi ndo utakuwa muundo wa maisha yake, aamrishwe tena kutumia jema na baya aachane nalo ili hali tunda alokula linampa full package ya ukishakula tu unapata vyote(mema na mabaya) na ukisema baya ni hatia vipi jema jenyewe si hatia pia?
kwa maana hatukuruhusiwa kuvijua vyote tokea mwanzo na tukakaidi kwa maana kama alitaka tutende mema tu basi mti ule ungekuwa na upande mmoja tu wa ujuzi wa mabaya. Na baadaye tena wakatimuliwa wasile na mti wa uzima wasije wakaishi milele, je ile ahadi ya uzima wa milele hapo baadae(ufunuo) ina haja gani ikiwa tokea mwanzo atukuumbwa tuishi milele?
 
Mkuu kufa ni tukio la dhambi,mpango wa Mungu ilikuwa tuishi milele.Halafu ni vema watu wakajua kwamba Mungu ametupa free will,He does not force anybody to abide by his rules,hata hivyo kuna serious consequences,hapa hapa duniani na at eternity.Unajua,mema yamejulikana kwa kuwa kuna mabaya!Without evil,there is no sense of good.Biblia inasema tuliumbwa ili tutende mema,so evil is foreign to us. Finally kufukuzwa ilikuwa sawa,kwa kuwa the Adams wamevunja amri ya Mungu,na penalty ya Mungu kwa kuvunja amri ile ilikuwa kufa.Mungu habadiliki,akisha ahidi kitu lazima kitokee,so they had to die.
 
Wewe unabaseupande wa wanufaika huangalii waliodhurumiwa haki zao. Yan kwakua kosa limefanyika basi uhalalishe kutokana na kosa lililotendeka wanufaika ni wengi kuliko mdhulumiwa basi dhambi siyo kosa. Hao wanasheria na watu wa NGO sijui wa haki za binadamu wapo kwa ajili yenu kuwashughulikia nyie watenda makosa halafu mnataka kuhalalisha kufanya kitu fulani(unachohamasisha wewe) siyo kosa

Ndio maana hata kiserikali wana msemo wanasema pesa chafu maana yake upatikanaji wake haukua halali hivyo hata matumizi yake hayakubaliki. Sasa wewe unataka kusema kwakua umeiba au umeua mtu ukachukua pesa zake ukaenda kuwapa watoto yatima basi utakua umetenda wema. Acheni upuuzi bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiruhusu akili yako kumuelewa jamaa utagundua ana hoja,
Umesema kuhusu pesa chafu hazikubaliki kiserikali ila ukumbuke Serikali hiyohiyo haitambui uchawi, je ni kweli uchawi haupo?
 
Hoja yangu ninayokuja nayo ni kwamba, dhambi (makosa) ni HATIA duniani na kwa Mungu, na dhambi ni jambo la asili kwa binadam...twende pamoja.

Unapotenda dhambi moja kwa moja wewe ni mkosaji bila kujali faida zinazoletwa na dhambi zako na ndio maana huonekana muovu machoni mwa watu, unaweza kuishia jela na hata kuuwawa, na upande wa Dini nako pia uhesabiwa makosa vivyo hivyo.

Upande wa dhambi kuwa jambo la asili hapa ndipo ninapoungana na mleta mada katika kipengele hiki.
Binaadam unapozaliwa tu na kuishi kwa utashi wako tayari ni dhambi, unatakiwa uanze kuabudu na usipoenda ni dhambi hata kama hakuna kibaya chochote ulichofanya sehemu nyingine, unatakiwa kuabudu, kutoa sadaka, kumsifu Mungu nk nk.

Hivyo dhambi huja yenyewe automatically na thawabu huja kwa kuitafuta au kujihini hivyo unapozaliwa na kujitambua inakubidi uitafute thawabu, na usipoitafuta una dhambi.

Ni hayo tu kwa sasa.
 
Mkuu kufa ni tukio la dhambi,mpango wa Mungu ilikuwa tuishi milele.Halafu ni vema watu wakajua kwamba Mungu ametupa free will,He does not force anybody to abide by his rules,hata hivyo kuna serious consequences,hapa hapa duniani na at eternity.Unajua,mema yamejulikana kwa kuwa kuna mabaya!Without evil,there is no sense of good.Biblia inasema tuliumbwa ili tutende mema,so evil is foreign to us. Finally kufukuzwa ilikuwa sawa,kwa kuwa the Adams wamevunja amri ya Mungu,na penalty ya Mungu kwa kuvunja amri ile ilikuwa kufa.Mungu habadiliki,akisha ahidi kitu lazima kitokee,so they had to die.
Mwanzo 3:22 Bwana Mungu akasema,Basi,huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima,akala, akaishi milele;
Kumbe shetani akuongea uongo aliposema kuwa watakuwa kama Mungu?
Na ni kweli pia wasinge kufa kama wangeundea na ule mti wa uzima mapema?
Kumbe dhambi kwa mwanadamu nikuchagua kuwa kama Mungu wake/kukataa kutawaliwa bila utashi wake, kwangu hapa sioni hatia yeyote zaidi ya uonevu.

Mwanzo 6:2-8 (nashauri ukasome)
Mwanzo 2 Wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua. (Wana wa Mungu wakashawishika/wakatenda dhambi)

Lakini hatia akawa nayo mwanadamu sijuhi kwa kuwa kazaa binti wazuri...ebu tuendelee Mwanzo 5 Bwana akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani,akahuzunika moyo(Bwana akajuta nakujihisi kukosea/hatia(dhambi) kwa uumbaji wake)
Mwanzo 3: Bwana akasema, Roho yangu haitoshindana na mwanadamu milele..." kumbe Mungu mwenyewe alimuhukumu kiumbe chake kwa hofu yakumuofia mwanadamu kuwa kama yeye, tazama matokeo yake...
"kwa kuwa nae ni nyama;basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini. kauli hii inatia mashaka kuwa Mungu pia ana mwili wa nyama kama binadamu.

Zingatio lingine hapa ni kuwa Mungu na viumbe wake wote kasoro binadamu wana vyote ndani yao yaani ujuzi wa mema na mabaya pamoja na uzima wa milele, hivyo wanayaishi yote na kwao si hatia wakitenda dhambi au wema na wanahaki yakuishi milele,

ndio maana wana wa Mungu walipokosea aliyehukumiwa ni binadamu kwa kupunguziwa umri wa kuishi plus kufutilia kizazi chote kwa gharika pasipo Bwana(baba) mwenyewe kuwajibika kwa kosa lake la kuwaacha wanawe watende dhambi.
 
Hoja yangu ninayokuja nayo ni kwamba, dhambi (makosa) ni HATIA duniani na kwa Mungu, na dhambi ni jambo la asili kwa binadam...twende pamoja.

Unapotenda dhambi moja kwa moja wewe ni mkosaji bila kujali faida zinazoletwa na dhambi zako na ndio maana huonekana muovu machoni mwa watu, unaweza kuishia jela na hata kuuwawa, na upande wa Dini nako pia uhesabiwa makosa vivyo hivyo.

Upande wa dhambi kuwa jambo la asili hapa ndipo ninapoungana na mleta mada katika kipengele hiki.
Binaadam unapozaliwa tu na kuishi kwa utashi wako tayari ni dhambi, unatakiwa uanze kuabudu na usipoenda ni dhambi hata kama hakuna kibaya chochote ulichofanya sehemu nyingine, unatakiwa kuabudu, kutoa sadaka, kumsifu Mungu nk nk.

Hivyo dhambi huja yenyewe automatically na thawabu huja kwa kuitafuta au kujihini hivyo unapozaliwa na kujitambua inakubidi uitafute thawabu, na usipoitafuta una dhambi.

Ni hayo tu kwa sasa.

Ukishasema dhambi ni asili basi huwezi pinga tena mtu asiishi kwa kufuata asili yake, unaposema dhambi ni hatia bila kuonesha hiyo hatia iko vipi na badala yake unajitia hofu au mazoea/unatumia saikolojia ya watu na maamuzi yao juu ya dhambi hata kama si sahihi uoni kama hoja yako haina mashiko.
 
Back
Top Bottom