Asili ya dunia ni dhambi na dhambi si hatia

Undava King

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,422
Reaction score
5,675
'Kufa kufaana' tupo duniani 'kuchumia tumbo' na hakuna dhambi nikitenda dhambi kwa sababu ipo hili niitende niishi, Niende moja kwa moja kwenye hoja:-

Lengo la kutengeneza silaha nikuua watu, nia nikupata pesa unapoziuza, hapo unazalisha ajira na mapato ya serikali ambayo baadaye yanakwenda kulipa wafanyakazi ambao baadaye watakwenda kununua bidhaa nakuwachangia wafanyabiashara nakutoa sadaka kanisani ambazo baadaye uboresha miundombinu na maisha ya watumishi wa kanisa kuendelea kukemea uovu.

Magonjwa yanapotengenezwa kupitia vyakula,madawa,mitindo ya kimaisha, maabara na baadaye kuenezwa kimakusudi kwa kujua, je wanaofanya hivyo huwa wanakuwa wamekosea au wako sawa?

Achana na kifungo cha utu na huruma(ubinadamu) ebu fikiria kwa umakini, mfano Ukimwi, Kansa, kisukari na magonjwa mengine yanayotesa wanadamu leo hii yapate dawa nakutokomezwa kabisa, je wahisi ni faida kwa dunia au hasara?

Je, ni ajira ngapi zitapotea, biashara za madawa itakuwaje, vipi mapato, wangapi watapoteza taaluma zao,n.k

Je, ikiwa watu wataachwa waongezeke pasipo kuuliwa/kupunguzwa kwa njia mbalimbali wahisi dunia itakuwa mahala salama pa kuishi ukizingatia rasilimali tuliyonayo(scarcity) na uwiano wa matumizi/uhitaji wake, je itabaki kwenye balance nzuri?

Kumbe shida yako ndo kuponea kwangu bila wewe kupata shida mi nikaja kukutatulia/kuneemeka na kutokuwepo kwako hatujaishi bado, hivyo nikikupa nabarikiwa ila nikikukwapulia unanilaani(dhambi) nikiwapelekea familia ile riziki niliyokwapua wakala wasife njaa(baraka) hivyo bila kutenda dhambi maisha duniani yasingewezekana

Kwa maana kupitia dhambi jema huja kusawazisha ubaya baadaye dhambi uchukua nafasi yake kumaintain equilibrium na ni endless process hivyo nathibitisha kwamba dhambi siyo hatia bali ipo hili tuiishi.
 
Wewe jana usiku ulikunywa Pombe nyingi sana na umeamka na HANGOVER, shida siyo hatia au kutokuwa na hatia kwa dhambi shida ni hiyo "hang over" yako.
 
Hahaaaa! Hizi si akili za usiku jibu hoja acha mihemko
 
'Kufa kufaana' tupo duniani 'kuchumia tumbo' na hakuna dhambi nikitenda dhambi kwa sababu ipo hili niitende niishi, Niende moja kwa moja kwenye hoja:-

Lengo la kutengeneza silaha nikuua watu, nia nikupata pesa unapoziuza, hapo unazalisha ajira na mapato ya serikali ambayo baadaye yanakwenda kulipa wafanyakazi ambao baadaye watakwenda kununua bidhaa nakuwachangia wafanyabiashara nakutoa sadaka kanisani ambazo baadaye uboresha miundombinu na maisha ya watumishi wa kanisa kuendelea kukemea uovu.

Magonjwa yanapotengenezwa kupitia vyakula,madawa,mitindo ya kimaisha, maabara na baadaye kuenezwa kimakusudi kwa kujua, je wanaofanya hivyo huwa wanakuwa wamekosea au wako sawa?

Achana na kifungo cha utu na huruma(ubinadamu) ebu fikiria kwa umakini, mfano Ukimwi, Kansa, kisukari na magonjwa mengine yanayotesa wanadamu leo hii yapate dawa nakutokomezwa kabisa, je wahisi ni faida kwa dunia au hasara?

Je, ni ajira ngapi zitapotea, biashara za madawa itakuwaje, vipi mapato, wangapi watapoteza taaluma zao,n.k

Je, ikiwa watu wataachwa waongezeke pasipo kuuliwa/kupunguzwa kwa njia mbalimbali wahisi dunia itakuwa mahala salama pa kuishi ukizingatia rasilimali tuliyonayo(scarcity) na uwiano wa matumizi/uhitaji wake, je itabaki kwenye balance nzuri?

Kumbe shida yako ndo kuponea kwangu bila wewe kupata shida mi nikaja kukutatulia/kuneemeka na kutokuwepo kwako hatujaishi bado, hivyo nikikupa nabarikiwa ila nikikukwapulia unanilaani(dhambi) nikiwapelekea familia ile riziki niliyokwapua wakala wasife njaa(baraka) hivyo bila kutenda dhambi maisha duniani yasingewezekana

Kwa maana kupitia dhambi jema huja kusawazisha ubaya baadaye dhambi uchukua nafasi yake kumaintain equilibrium na ni endless process hivyo nathibitisha kwamba dhambi siyo hatia bali ipo hili tuiishi.
mtoto mdogo anapolawitiwa au kunajisiwa kuna jema gani huja? ubaya unasawazishwaje hapo? mwizi anapoingia kuharibu na kuua jema gani huja? mtu anapotumia uchawi ili akuharibie au hata kukuua au kukufanya msukule, jema gani huja? baya gani usawazishwa? mjane anaponyang'anywa mali na yatima wanapoteseka na kutupwa na ndugu na jamaa, jema gani huja hapo? baya gani linasawazishwa hapo? binti anapozaa mtoto akamtupa chooni ili kumuua, jema gani huja hapo? 😵, wewe dhambi unazoongelea ni zipi? inawezekana una definition yako ya dhambi ambayo iko tofauti na dhambi tunazozijua
 
Haya ni matokeo ya dhambi. Umeiba weeeee sasa nafsi inakuhukumu unaanza kujitakasa kwa kuibariki dhambi. Rudisha ulivyoiba. Una dhambi na dhamira inakusuta.... usipofanya hivyo unaelekea kuokota makopo. am telingi yuuu.... nafsi inaumia.

Sio kweli uliyoyasema, watu tunaweza ishi bila kuiba. tunaweza ishi bila kuwatafutia wengine magonjwa ili tuwape dawa. tunaweza ishi bila dhambi.
Dhambi ni dhambi na ukitenda dhambi dhamiri yako inakuambia kabisaa hii ni dhambi.
 
Dhamira inakusuta(unahisi hatia) ni saikolojia uliyojijengea ndo inayokutesa mfano mdogo Hitler aliuwa na kuchinja waisraeli milioni 3 na zaidi(kwa dunia ni dhambi yakihistoria)ila matokeo yake nikuifanya ujerumani kuwa taifa la uchumi wa viwanda na lililoendelea zaidi ulaya kwa ujerumani ilikuwa faida kubwa kiuchumi mpaka kufikia leo hii wanaipa nchi yako misaada na mnashukuru(baraka) za uovu huo, ina maana bila uovu huo ujerumani ingekuwa masikini kama nyie wema nani angemsaidia mwenzake?
 
mtoto mdogo anapolawitiwa au kunajisiwa kuna jema gani huja? ubaya unasawazishwaje hapo? mwizi anapoingia kuharibu na kuua jema gani huja? mtu anapotumia uchawi ili akuharibie au hata kukuua au kukufanya msukule, jema gani huja? baya gani usawazishwa? mjane anaponyang'anywa mali na yatima wanapoteseka na kutupwa na ndugu na jamaa, jema gani huja hapo? baya gani linasawazishwa hapo? binti anapozaa mtoto akamtupa chooni ili kumuua, jema gani huja hapo? 😵, wewe dhambi unazoongelea ni zipi? inawezekana una definition yako ya dhambi ambayo iko tofauti na dhambi tunazozijua
Umeuliza swali ukiwa tu emotional hapa unazungumzia utu na unyama, hili swali nishalijibu kwa mifano kadhaa hapo juu kukuonesha kwamba kile ukionacho kibaya zaidi lazima kinafaida yake upande wa pili aidha kwa mtenda au mtendewa,

mfano tukio la huyo mtoto kulawitiwa kuna upande utanufaika na hilo tukio (watetezi, mahakama, watunga sheria,elimu itatolewa, michango, misaada nakadhalika na hawawezi kuishi wengine bila huo mnyororo wa matukio hayo uliyoyataja kama vile wizi,mauaji,dhuluma,usaliti,magendo n.k kwa sababu kwa hao watu hiki ndo chanzo cha ajira na kipato. Mwisho wa siku huyo aliyekuvamia akaiba akaenda kwa mwenzako tena akaiba nakuua baadaye akatajirika ataajiri watu wengi pengine na wewe ukiwemo

ambao watamtegemea kama mwarobaini wa kutatua madai ya kodi ya pango,watoto kwenda shule,bili ya maji na umeme nakadhalika ambao ndo ustawi wa jamii mpya hivyo huko hapo salama kwa sababu kuna mtu katenda dhambi badala yako na wewe unanufaika na dhambi hiyo katika kivuli cha wema.
 
Mkuu nimekuelewa sana argument zako.Naomba niongezee pia mfano kwa hawa tax consultant wanalalamika TRA wanonea sana wateja lakin hebu tujiulize TRA wakiwa wema 100% wao watapata wapi kazi.
Exactly, uko sawa mkuu.
 
Dhamira inakusuta(unahisi hatia) ni saikolojia uliyojijengea ndo inayokutesa mfano mdogo Hitler aliuwa na kuchinja waisraeli milioni 3 na zaidi(kwa dunia ni dhambi yakihistoria)ila matokeo yake nikuifanya ujerumani kuwa taifa la uchumi wa viwanda na lililoendelea zaidi ulaya kwa ujerumani ilikuwa faida kubwa kiuchumi mpaka kufikia leo hii wanaipa nchi yako misaada na mnashukuru(baraka) za uovu huo, ina maana bila uovu huo ujerumani ingekuwa masikini kama nyie wema nani angemsaidia mwenzake?

Kwa hiyo unafikiri njia ya kupata mafanikio ni kutenda dhambi? kama hiyo ya Hitla? asingeua ujerumani isngekuwa taifa la uchumi wa viwanda?
 
Umeuliza swali ukiwa tu emotional hapa unazungumzia utu na unyama, hili swali nishalijibu kwa mifano kadhaa hapo juu kukuonesha kwamba kile ukionacho kibaya zaidi lazima kinafaida yake upande wa pili aidha kwa mtenda au mtendewa,

mfano tukio la huyo mtoto kulawitiwa kuna upande utanufaika na hilo tukio (watetezi, mahakama, watunga sheria,elimu itatolewa, michango, misaada nakadhalika na hawawezi kuishi wengine bila huo mnyororo wa matukio hayo uliyoyataja kama vile wizi,mauaji,dhuluma,usaliti,magendo n.k kwa sababu kwa hao watu hiki ndo chanzo cha ajira na kipato. Mwisho wa siku huyo aliyekuvamia akaiba akaenda kwa mwenzako tena akaiba nakuua baadaye akatajirika ataajiri watu wengi pengine na wewe ukiwemo

ambao watamtegemea kama mwarobaini wa kutatua madai ya kodi ya pango,watoto kwenda shule,bili ya maji na umeme nakadhalika ambao ndo ustawi wa jamii mpya hivyo huko hapo salama kwa sababu kuna mtu katenda dhambi badala yako na wewe unanufaika na dhambi hiyo katika kivuli cha wema.
Wewe unabaseupande wa wanufaika huangalii waliodhurumiwa haki zao. Yan kwakua kosa limefanyika basi uhalalishe kutokana na kosa lililotendeka wanufaika ni wengi kuliko mdhulumiwa basi dhambi siyo kosa. Hao wanasheria na watu wa NGO sijui wa haki za binadamu wapo kwa ajili yenu kuwashughulikia nyie watenda makosa halafu mnataka kuhalalisha kufanya kitu fulani(unachohamasisha wewe) siyo kosa

Ndio maana hata kiserikali wana msemo wanasema pesa chafu maana yake upatikanaji wake haukua halali hivyo hata matumizi yake hayakubaliki. Sasa wewe unataka kusema kwakua umeiba au umeua mtu ukachukua pesa zake ukaenda kuwapa watoto yatima basi utakua umetenda wema. Acheni upuuzi bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tumefundishwa dhambi ni kitendo cha kufanya kinyume na maagizo ya mwenyezi Mungu. Pia dhambi imetokana na biblia katika maandishi yako sijaona umehuisha bandiko lolote kutoka kwenye kitabu cha Mungu Bible au Quran.

Bandiko lako ni batili potelea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeuliza swali ukiwa tu emotional hapa unazungumzia utu na unyama, hili swali nishalijibu kwa mifano kadhaa hapo juu kukuonesha kwamba kile ukionacho kibaya zaidi lazima kinafaida yake upande wa pili aidha kwa mtenda au mtendewa,

mfano tukio la huyo mtoto kulawitiwa kuna upande utanufaika na hilo tukio (watetezi, mahakama, watunga sheria,elimu itatolewa, michango, misaada nakadhalika na hawawezi kuishi wengine bila huo mnyororo wa matukio hayo uliyoyataja kama vile wizi,mauaji,dhuluma,usaliti,magendo n.k kwa sababu kwa hao watu hiki ndo chanzo cha ajira na kipato. Mwisho wa siku huyo aliyekuvamia akaiba akaenda kwa mwenzako tena akaiba nakuua baadaye akatajirika ataajiri watu wengi pengine na wewe ukiwemo

ambao watamtegemea kama mwarobaini wa kutatua madai ya kodi ya pango,watoto kwenda shule,bili ya maji na umeme nakadhalika ambao ndo ustawi wa jamii mpya hivyo huko hapo salama kwa sababu kuna mtu katenda dhambi badala yako na wewe unanufaika na dhambi hiyo katika kivuli cha wema.
sizani hata kama unajua unachokiongelea
 
Kwanza tumefundishwa dhambi ni kitendo cha kufanya kinyume na maagizo ya mwenyezi Mungu. Pia dhambi imetokana na biblia katika maandishi yako sijaona umehuisha bandiko lolote kutoka kwenye kitabu cha Mungu Bible au Quran.

Bandiko lako ni batili potelea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ulivyofundishwa na imani yako ya kikristo na si lazima niizungumzie biblia ndo bandiko langu liwe sahihi hata bila Biblia wala Quran dhambi ingekuwepo bado(akili ingeweza kung'amua jema au baya) kama unafikiria vizuri utagundua tiyari Mungu nishamzungumzia na shetani nishamzungumzia(kulingana na mtizamo wa imani yako), Hivyo kwakuwa umetaka niingie huko kabla ya kukujibu ntakuuliza maswali mawili mepesi(fikiri kwa makini kabla yakunijibu)

Ipi tofauti kuu kati ya Mungu na shetani?

Unahisi kosa la shetani pale bustani ya edeni lilikuwa ni nini hasa?
 
Kwa hiyo unafikiri njia ya kupata mafanikio ni kutenda dhambi? kama hiyo ya Hitla? asingeua ujerumani isngekuwa taifa la uchumi wa viwanda?
Ndio dhambi ni njia bora kabisa yakupata mafanikio iwe ni kwenye biashara, siasa, shughuli za kijamii na kidini,mahusiano nakadhalika bila uwongo nakujipendelea kwanza/kuvutia kwako huwezi kufika kokote na hicho unachotaka kifanikiwe ndo maana wengi (wema) ni masikini au huwa na mafanikio ya kati/kidogo tofauti na wale watenda maovu kwa faida.
 
sizani hata kama unajua unachokiongelea
Ni matumaini yangu kuwa umenielewa mrsleo ila kinachokukwaza ni hisia zako na imani yako juu ya dhambi ndo maana umekosa lakuniuliza au kunielewesha kwa hicho ambacho sijuhi
 
Back
Top Bottom