Tulia na mumeo kama una ndoa. Kama umeolewa, watoto wanatunzwa, wanasoma, mnakula na mahitaji ya msingi yanapatikana, basi mwanamke tulia! Jitahidi kuifanya nyumba yako iwe mahali pa amani.
Tusidanganyane, huku nje si kuzuri kama watu wanavyopamba kwenye mitandao. Wasikudanganye eti kuwa single mama ni raha tupu ukweli ni kwamba Stress zake si za nchi hii!
Mara mtoto amtake babaake, mara akuulize yuko wapi baba, mara uone watoto wengine wako na baba zao upate hasira, mara matumizi mvutane, mara ada, mara kaumwa hahhaa Mwanamke kaa ndoani kwa kutulia na umuheshimu huyo baba kwa hizo mia mia zake.
Ndoa ina changamoto zake ni kweli, lakini kama mna nafasi ya kujenga amani, kuheshimiana kupendana, na kila mmoja kukaa kwenye nafasi yake na wote mkiilinda hiyo amani aaa mtazeeka pamoja..
Biblia yenyewe inasema: Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja. (Mhubiri 4:9).
Usitamani maisha ya mtu mwingine, linda kile Mungu amekupa kwa wivu mkubwa.🏹✊