Asikuambie mtu kuoa ni raha

Asikuambie mtu kuoa ni raha

Nyie vijana wa sku hizi na vimisemo vyenu vya kuhalalisha talaka hivi!

Mbona wazee wetu wameishi miaka 30-50 kwenye ndoa tena fresh tuu.?
Hawakuwahi kua na furaha milele haha,raha huja na kupotea,karaha huja na kupotea.
Tunakinai,ila tunatakiwa kuvumiliana tu sasa[emoji23]
 
Kuna mtu niliemweka wa ndoto zangu akanivuruga sina hamu kabisa na hawa viumbe
Na ukikaa na kinyongo nae moyoni umekwisha, Wakati mwingine Mwenyezi Mungu anaruhusu shetani afanye jambo( sio kudhuru roho ya mtu lakini) ili kukuepusha na njia anayoona sio sahihi kwako kupita, samehe yanaisha unaendelea na mipango mingine maisha hayasubiri mtu ndugu
 
Hawakuwahi kua na furaha milele haha,raha huja na kupotea,karaha huja na kupotea.
Tunakinai,ila tunatakiwa kuvumiliana tu sasa[emoji23]
Hahahahaaa
Wazazi wetu walikuwa hata wakigombana wanajua hiyo key word
*Kuvumiliana
Vijana wa sku hizi hamuwezi kabsaaa, tamthilia za wakorea na wa filipino zime waharibu sana watu.
 
Na ukikaa na kinyongo nae moyoni umekwisha, Wakati mwingine Mwenyezi Mungu anaruhusu shetani afanye jambo( sio kudhuru roho ya mtu lakini) ili kukuepusha na njia anayoona sio sahihi kwako kupita, samehe yanaisha unaendelea na mipango mingine maisha hayasubiri mtu ndugu
Asante kwa ushaur mkuu ila huyu kiumbe anamakusudi sana Mimi Niko depo akapata mimba akaolewa amekaa miaka kama miwili kwenye ndoa..

Now ameachana na mmewe ananisumbua sana kaenda hadi nyumbani eti wamwombee msamaha kwangu.

Nilishamsahau ila nazid kupata hasira sasa anasema aliambiwa naweza kufa nkiwa depo ndio maana alishawishika idiot[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Siku ukigundua uzuri tuu si kigezo cha kuoa
Utaoa mapeema tena bila shida braza.
Uko sahihi... lakini chief uoni mitaani hali halisi naona nikioa mapema nitajipiga ban subiri kwanza nimalize ujana kabisa ndio nije nitulie... ndoa ni karama aisee
 
Sio kweli, imani inatutuma kuamini juu ya kuiona kesho na ndio maana tunapanga mipango endelevu(utamsikia Hajar anakwambia mwajani naenda kusoma - mfano) amejuaje kama mwakani atakuwepo? mbona apange mipango ilhali hajui kama atakuwepo ama hatakuwepo.

Hii haina tofauti na Hajar alipomuomba mleta uzi kwamba baada ya miaka 3 au 5 atuletee mrejesho.

Ni mtazamo wangu huu - usinipopoe na mawe Hajar hahahaa
Hahaaaa. Sawa rafiki.
 
Asante kwa ushaur mkuu ila huyu kiumbe anamakusudi sana Mimi Niko depo akapata mimba akaolewa amekaa miaka kama miwili kwenye ndoa..

Now ameachana na mmewe ananisumbua sana kaenda hadi nyumbani eti wamwombee msamaha kwangu.

Nilishamsahau ila nazid kupata hasira sasa anasema aliambiwa naweza kufa nkiwa depo ndio maana alishawishika idiot[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Bibi zetu, mama zetu, shangazi zetu, mama zetu wadogo, dada zetu hawa ndivyo walivyo chief. Unachotakiwa kuhakikisha ni kwamba usije ukaingia kwenye mahusiano mengine ukiwa na maumivu ya ulikotoka kwasababu ile nature ya kibinadamu inabaki ni ile ile so itakutafuna tu hitoona jema juu ya mwanamke yyt yule mbele yako, Mungu ana jambo la kusema juu yako. Sameheaneni kisha kila mmoja ashike hamsini zake na maisha yake
 
Siwezi soma lolote kuhusu habari ya ndoa ila huko nikipata nauri nitakuja bado napambana na changamoto za uchumba ingawa njia hiyo inamiiba kila upande nitajitahidi nifike. Na zile ndoto za kitanda naamini siku moja zitatimia. Kila la kheri mkuu
 
Bibi zetu, mama zetu, shangazi zetu, mama zetu wadogo, dada zetu hawa ndivyo walivyo chief. Unachotakiwa kuhakikisha ni kwamba usije ukaingia kwenye mahusiano mengine ukiwa na maumivu ya ulikotoka kwasababu ile nature ya kibinadamu inabaki ni ile ile so itakutafuna tu hitoona jema juu ya mwanamke yyt yule mbele yako, Mungu ana jambo la kusema juu yako. Sameheaneni kisha kila mmoja ashike hamsini zake na maisha yake
Kushika hamsini zake ndio kitu ambacho hataki mkuu usumbufu niupatao ndio unazid kunipa hasira sana
 
Habar zenu wakuu ,

Ni mda sasa sjaleta uzi humu jukwaani tangia nifunge pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu ila leo kidoog nimeona nije na hili

Nilileta uzi humu miezi minne iliopita kwamba nimemuowa mwanamke wa ndoto zangu

Kiukwel safar ya kuowa kwangu haikua rahisi , kwani kila mtu alijua nimekurupuka kwakua skua ninetimiza hata mwaka toka nianze kupata mishe na kua napata angalau risk yangu ya halali

Wengi walinibeza na kukataa kata kata kunipa ushirikiano ila hatimae leo nimekamilisha adhma yangu na nafurahis maisha haya matamu ya ndoa

Japo wengi mtasema safar bdo ndo kwanza nakula honeymoon ila waswahil wanasema nyota njema inaonekana asubuh

Kwa wale walionibeza wanafikia kuomba mualiko kuja kwangu , wengine wanaleta tu watoto wao angalau wakae kwangu sku mbili tatu

Wengine wananipiga virungu kila leo

Ushauri kwa vijana wenzangu kama una wazo la kuowa na unahis umepata mwanamke sahihi kwako ambae mnapendana kwel kwel asa basi challenge za watu kukutoa moyo tupa pembeni wewe pigana na muombe mungu akufanikishe

Laiti ningeskiliza kelele za chura hadi leo maji yangenishinda kunywa

Nafrahia maisha na wife hata bajet yangu imeimarika tofaut na kipind cha ubachela

Namalizia :Ndoa tamu sna askwambie mtu iwapo utapata mtu sahihi akakupenda kwel nawe ukampenda na akawa muelewa na kukubaliana na hali yako
kuoa raha kama mna maelewano na lengo moja ila binafsi yangu kuoa hakuna raha yoyote kusumbuana mtu sijui labda naweza oa tena ila kwa yaliyonikuta na ndoa yangu kule kiboje noooooo wanawake wanabadilika badilika kama kinyongaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom