Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,755
Kila la heri mkuu katika ndoa yako hiyo...
ahahahahaha ngoja nimalize malize ujana kabisa chiefAmeen mkuu
Mungu atakujaalia pia
Sku akitokea right someone 4 u hautoambiwa na mtu mwenyewe utaitaka ndoa mithili ya chizi
hapo nimekuelewa, basi unaweza Mungu akusaidie. Harusi nyingi furaha yao ni mwaka mmoja yaani zile zawadi zinapoisha furaha inazidi kupungua taratibu, wewe kama hukuchangiwa wala kupewa zawadi naomba nikupongeze na Mungu akuongoze ktk ndoa yako!!Mkuu sikupewa mchango hata mia
Nikama vile niliibeba dunia mgongon nimemaliza ndoa sina shilling hapa ndo naanza kujiweka sawa upyaaa
Japo sijazama.Hongera sana Mkuu. Ila nitafurahi zaidi baada ya miaka 03 au 05 kupita utupe mrejesho kwamba hizo raha za sasa zipo, zimeongezeka au zimepungua.
Pia Kila la kheri Mkuu.
Nitafurahi sana na wewe ukilete taarifa kama hii
Hapo majanga, siku zote wanasema kipya kinyemi hata mwanamke nae huwa na shauku sana siku za awali za ndoa yake ikiwa bado changa hamna hata watoto.Hongera sana Mkuu. Ila nitafurahi zaidi baada ya miaka 03 au 05 kupita utupe mrejesho kwamba hizo raha za sasa zipo, zimeongezeka au zimepungua.
Pia Kila la kheri Mkuu.
Aisee hapo ndipo ndoa inapoanza kuwa ngumu, mwanamke bado hajazoea hali halisi ya ndoa ila wakishaanza kuzoeana sana hapo ndipo kila mtu hutoa kauli mbovu kwa mwenzake dah hatari sana. Unaomba gemu mwanamke anakwambia kama nimechoka nifanyeje sasa.Ukishachapiwa ndio utajua kuwa ni bora uchapiwe demu kuliko kuchapiwa mke..
na ndio hapo utaukumbuka ule msemo wa kuchapiwa ni siri ya ndani
mimi bado nipo sana chama la bachela hadi nipewe uenyekiti ... kamwe sitakuja saliti hili chama
Una uhakika utakuwa hai?Hongera sana Mkuu. Ila nitafurahi zaidi baada ya miaka 03 au 05 kupita utupe mrejesho kwamba hizo raha za sasa zipo, zimeongezeka au zimepungua.
Pia Kila la kheri Mkuu.
Dhuuuuu hapo nawaongezea 6 ingineSijafikiria kuoa kabisa na tuna miaka sita sasa
Ndoa mkiikompliketi inasumbua sana lakini mkiichukulia kwa hali zenu ni raha sanaHongera sana Mkuu. Ila nitafurahi zaidi baada ya miaka 03 au 05 kupita utupe mrejesho kwamba hizo raha za sasa zipo, zimeongezeka au zimepungua.
Pia Kila la kheri Mkuu.
Ni suala la muda tu lakini kamwe huwezi kushindana na nguvu za wakatiUkishachapiwa ndio utajua kuwa ni bora uchapiwe demu kuliko kuchapiwa mke..
na ndio hapo utaukumbuka ule msemo wa kuchapiwa ni siri ya ndani
mimi bado nipo sana chama la bachela hadi nipewe uenyekiti ... kamwe sitakuja saliti hili chama