Asikuambie mtu kuoa ni raha

Asikuambie mtu kuoa ni raha

Hongera sana Mkuu. Ila nitafurahi zaidi baada ya miaka 03 au 05 kupita utupe mrejesho kwamba hizo raha za sasa zipo, zimeongezeka au zimepungua.

Pia Kila la kheri Mkuu.
miaka 3mingi ngoja aishiwe mkuu wanawake kama nyuki tu mmea usio na maua hakai hapo
 
Kushika hamsini zake ndio kitu ambacho hataki mkuu usumbufu niupatao ndio unazid kunipa hasira sana
Ataacha tu baada ya muda kama ilivokuwa wakati umeenda depo- uzuri wae hawa wenzetu ni wepesi sana kusahau jambo, suala la msingi jiweke kwenye mazingira ambayo hamuonani atakusahau tu kwasababu hapo anachokitafuta kwako ni kinga ya uhakika wa maisha yake wala hakuna mapenzi ya dhati wala nini. Usimpe attention yyt wala usijibizane nae, ila mchukulie kama watu wengine wa kawaida katika maisha yako i.e salamu haigombi
 
kuoa raha kama mna maelewano na lengo moja ila binafsi yangu kuoa hakuna raha yoyote kusumbuana mtu sijui labda naweza oa tena ila kwa yaliyonikuta na ndoa yangu kule kiboje noooooo wanawake wanabadilika badilika kama kinyongaaaaaaaa
Ukiwa makini na ukafuata misingi inayotakiwa kabla na wakati wa kuoa ndoa tamu saana. Mimi pia nilipitia changamoto kabla ya hii niliyomo sasa ikumbukwe
 
Ataacha tu baada ya muda kama ilivokuwa wakati umeenda depo- uzuri wae hawa wenzetu ni wepesi sana kusahau jambo, suala la msingi jiweke kwenye mazingira ambayo hamuonani atakusahau tu kwasababu hapo anachokitafuta kwako ni kinga ya uhakika wa maisha yake wala hakuna mapenzi ya dhati wala nini. Usimpe attention yyt wala usijibizane nae, ila mchukulie kama watu wengine wa kawaida katika maisha yako i.e salamu haigombi
Kuonana hatuwez coz tupo mbali namshangaa toka 2016 hakati tamaa hadi sasa japo hua sina kawaida ya kupokea au kujibu meseji zake
 
Ukiwa makini na ukafuata misingi inayotakiwa kabla na wakati wa kuoa ndoa tamu saana. Mimi pia nilipitia changamoto kabla ya hii niliyomo sasa ikumbukwe
mkuu wacha tu niwe kifyagio cha mtaa hakuna jinsi mpaka mungu atakapochukua haka kauhai wacha niendelee kumlea mwanangu brian kuoa mi siwezi unafuata mising na kuilea familia vyema lakin maudh dharau na upuuz mwingine noooo big nooo inatosha wacha niwacharazeeeeeeee
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Halaf kwenye kulalamika ikutokea shda ndio wa kwanza
Yaani utafikiri watoto wa kambo ambao chai ukiwapoozea wanalalamika chai tunapewa ya baridi, ukiwapa bila kuipoza wabalalamika chai tunapewa ya moto tunaungua midomo, maisha sio kama kutafuna biskuti [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom