Asikuambie mtu kuoa ni raha

Asikuambie mtu kuoa ni raha

Kuumbe. Sawa rafiki.
Ni hivo tu rafiki. Hakuna mambo ya mbona baba fulani kila siku ananunua nyama ww unaleta dagaa, au mbona fulani kila nikitaka ananipa ww unanibania - hayo mambo ya figisu figisu ndio huharibu kbs ndoa, suala ni kuomba Mungu kila wakati atuzidishie mioyo ya upendo na amani mambo yanaenda muruwa
 
Inategemea na ulivyo anza nae mkuu
Waswahili wamesema samaki mkunje akiwa bdo mbichi
Mkeo anatakiwa kuwa rafiki yako sio adui yako, mambo ya kupaona nyumbani kwako kama jela mimi siyataki kbs! Kwako inatakiwa iwe ni kwako na hii ni kwa pande zote me na ke
 
Kuwa hai ni majaaliwa ujue rafiki. Na sikuzote hatuijui kesho hivyo huwezi jua kama nitaiona au nikiion zinazofuata je?
Sio kweli, imani inatutuma kuamini juu ya kuiona kesho na ndio maana tunapanga mipango endelevu(utamsikia Hajar anakwambia mwajani naenda kusoma - mfano) amejuaje kama mwakani atakuwepo? mbona apange mipango ilhali hajui kama atakuwepo ama hatakuwepo.

Hii haina tofauti na Hajar alipomuomba mleta uzi kwamba baada ya miaka 3 au 5 atuletee mrejesho.

Ni mtazamo wangu huu - usinipopoe na mawe Hajar hahahaa
 
Mbona si tunalazimishwa kuoa lkn bado tunapiga moyo konde
 
Back
Top Bottom