Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Siku ukigundua uzuri tuu si kigezo cha kuoahongera mkuu ila uwe unakubaliana na hali halisi za changamoto... umeepuka uzinzi safi... mimi sijui nitaoa lini kwa kweli watoto wazuri kila nikikatiza mitaa kila aina dah Muumba anitie nguvu nifikie kama wewe...
Utaoa mapeema tena bila shida braza.