Duu,,aisee!!sasa kama havipo hawa watu wa zamani walikuwa waongo sana,,
Nakumbuka baba yangu mdogo alinipa story fulani kuhusu vibwengo ndy nimegunduwa sasa kumbe nae alikuwa mwongo namba moja..kipindi hicho nina miaka kama kumi hivi...basi
anasema,,kulikuwapo na jamaa fulani alikuwa ni askari wa mkoloni kipindi hicho cha zamani,,huyo jamaa alikuwa anakaa chumbageni tanga,,,anasema kwamba kipindi hicho vibwengo walikuwa wengi sna tu maeneo hayo sababu ni jirani na Bahari,
Ikatokea huyo jamaa siku moja amekwenda chooni usiku akakutana na vibwengo,,,,,,,,anasema vilikuwa vifupi sana na ndevu ndefu,,ila vimejaa misuli balaa,,tena vina matege..
Akasema yule askari wa mkoloni alikuwa na kipensi na mabuti ya Jeshi,,zile buti mbele nondo,,
Yule baba anakwambiya ,,vibwengo vilitaka kumletea mauzauza yule askari wa zamani wa mkoloni ,,jamaa hakukubali zilizuka ngumi za kufa mtu,,baina ya vibwengo viwili na yule askari wa mkoloni,,
anakwambiya asubuhi walikutwa vibwengo wawili wamezirai na yule askari pia kazirai,,vita ilikuwa Kali sana,,jamaa lile buti mbele nondo ndy vilimsaidia kuwazimisha vibwengo.
Duu..kumbe yule baba mdogo fix tupu..
Hawa wazee wa zamani hawa!!!!