Hapana Huyo ni WhaleHuyu si dugong......?.....ndio nguva.......?
Hawa wazee wetu wa zamani walikuwa waongo sana,,
Wametudanganya mengi sn,,ikiwemo uhalisia wa nguva..
Zeruzeru,,
Vibwengo..nk
Duu,,aisee!!sasa kama havipo hawa watu wa zamani walikuwa waongo sana,,ni kweli havipo mkuu,ila Tz kuna mauza uza mengi sana huku.kuna sehemu fulani porini ukipita unahisi joto lile la jiko la mkaa yani unakua kama unaungua kabisa,ila ukifika hatua kama kumi mbele unajiskia sawa.kila siku ukipita hapo unahisi hivo
Yeah Ndio huyo kizungu wanamwita Whale
Mbona naona kitovu tu sioni maziwa??Huyu ndio nguva halisiView attachment 1554508
Duu,,aisee!!sasa kama havipo hawa watu wa zamani walikuwa waongo sana,,
Nakumbuka baba yangu mdogo alinipa story fulani kuhusu vibwengo ndy nimegunduwa sasa kumbe nae alikuwa mwongo namba moja..kipindi hicho nina miaka kama kumi hivi...basi
anasema,,kulikuwapo na jamaa fulani alikuwa ni askari wa mkoloni kipindi hicho cha zamani,,huyo jamaa alikuwa anakaa chumbageni tanga,,,anasema kwamba kipindi hicho vibwengo walikuwa wengi sna tu maeneo hayo sababu ni jirani na Bahari,
Ikatokea huyo jamaa siku moja amekwenda chooni usiku akakutana na vibwengo,,,,,,,,anasema vilikuwa vifupi sana na ndevu ndefu,,ila vimejaa misuli balaa,,tena vina matege..
Akasema yule askari wa mkoloni alikuwa na kipensi na mabuti ya Jeshi,,zile buti mbele nondo,,
Yule baba anakwambiya ,,vibwengo vilitaka kumletea mauzauza yule askari wa zamani wa mkoloni ,,jamaa hakukubali zilizuka ngumi za kufa mtu,,baina ya vibwengo viwili na yule askari wa mkoloni,,
anakwambiya asubuhi walikutwa vibwengo wawili wamezirai na yule askari pia kazirai,,vita ilikuwa Kali sana,,jamaa lile buti mbele nondo ndy vilimsaidia kuwazimisha vibwengo.
Duu..kumbe yule baba mdogo fix tupu..
Hawa wazee wa zamani hawa!!!!
Kwamba ni nusu mtu nusu samaki,, tena anakuwa mrembo haswa,na akikupenda anakupeleka kwao chini ya Bahari,,Kwamba Jamaa anaweza kuwa mkubwa Kama kisiwa..[emoji23]
Huyo ni nyangumi unaemzungumzia weweKwamba Jamaa anaweza kuwa mkubwa Kama kisiwa..[emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Duu,,aisee!!sasa kama havipo hawa watu wa zamani walikuwa waongo sana,,
Nakumbuka baba yangu mdogo alinipa story fulani kuhusu vibwengo ndy nimegunduwa sasa kumbe nae alikuwa mwongo namba moja..kipindi hicho nina miaka kama kumi hivi...basi
anasema,,kulikuwapo na jamaa fulani alikuwa ni askari wa mkoloni kipindi hicho cha zamani,,huyo jamaa alikuwa anakaa chumbageni tanga,,,anasema kwamba kipindi hicho vibwengo walikuwa wengi sna tu maeneo hayo sababu ni jirani na Bahari,
Ikatokea huyo jamaa siku moja amekwenda chooni usiku akakutana na vibwengo,,,,,,,,anasema vilikuwa vifupi sana na ndevu ndefu,,ila vimejaa misuli balaa,,tena vina matege..
Akasema yule askari wa mkoloni alikuwa na kipensi na mabuti ya Jeshi,,zile buti mbele nondo,,
Yule baba anakwambiya ,,vibwengo vilitaka kumletea mauzauza yule askari wa zamani wa mkoloni ,,jamaa hakukubali zilizuka ngumi za kufa mtu,,baina ya vibwengo viwili na yule askari wa mkoloni,,
anakwambiya asubuhi walikutwa vibwengo wawili wamezirai na yule askari pia kazirai,,vita ilikuwa Kali sana,,jamaa lile buti mbele nondo ndy vilimsaidia kuwazimisha vibwengo.
Duu..kumbe yule baba mdogo fix tupu..
Hawa wazee wa zamani hawa!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ana kitambi?,sio mwanasiasa kweli huyo?
Anaitwa Dugongsio marmaid,marmaid yule ni fictional being,hayupo na hajawahi kuwepo. huyu ana jina fulani nimelisahau
Hapana huyu ni Dugong au nguva nafikiri wengine wanamuita manateeHuyo sio nguva kwenye hiyo picha ni nyangumi
Ndio sasa mzee kitu ina 200 tons kuna mnyama gani mwingine unayemjua wewe mwenye uzito huo na urefu wa futi 100?Wewe unaamini ni mkubwa kuliko wanyama wote?
Hitrel???hahahaha eti ngumi za kufa mtu,wazee wa zamani walikuwa wanaongeza chumvi sana.kuna mzee alisema kwamba Gamboshi kuna mpaka reli wana train zao huko na ma hospitali makubwa.
alafu wazee hawaachi kutudanganya,mwaka juzi nilikasikia kazee fulani kwenye taarifa ya habari kanadai Hitrel aliwahi kutua hapa Tanzania na kalimuona kwa macho yake[emoji1787].ni ka veteran ka vita kuu ya pili ya Dunia,mimi kalinishangaza kwa sababu Historia inasema Hitrel alifika Africa mara moja na alikaa siku moja tu tena ilikua ni Ethiopia kama sio nchi moja ya Maeneo hayo